leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya ?
Nataka kwenda kufua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ilikuwa ni jumapili jamaa yangu akanipa ufunguo wa fuso wake kuwa liko gereji nilifuate nafika gereji nikamwambia fundi nimefata gari Ananiuliza utaweza kuliendesha kwa Hasira nikamjibu kwani nalibeba MGONGONI au? Fundi kimya nikawasha gari gia mbele
Ilikuwa ni jumapili jamaa yangu akanipa ufunguo wa fuso wake kuwa liko gereji nilifuate nafika gereji nikamwambia fundi nimefata gari Ananiuliza utaweza kuliendesha kwa Hasira nikamjibu kwani nalibeba MGONGONI au? Fundi kimya nikawasha gari gia mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DahIlikuwa ni jumapili jamaa yangu akanipa ufunguo wa fuso wake kuwa liko gereji nilifuate nafika gereji nikamwambia fundi nimefata gari Ananiuliza utaweza kuliendesha kwa Hasira nikamjibu kwani nalibeba MGONGONI au? Fundi kimya nikawasha gari gia mbele
Duuh,kujidomolesha[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mnaangalia MTV African music awards live
Na mke wako
Baada ya diamond kufata tuzo yake
Mkeo anajidomolesha "siamini yule ni diamond kweli??"
Unamjibu hapana yule ni LUCKY DUBEl
[emoji16] [emoji16] na lectures wanavyo kua kauzu,utapigwa supp mpaka uombe pooothubutu uone!!
ID yako mkuu vipi bado ni dr pale DUCE???ID yako mkuu, vp bado unaimba?