Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Reactions: PNC
Upo mezani na muda wa chakula umefika, mtu anakuuliza, na wewe unakula? Wakati anajua toka asubuhi hujala, mjibu hapana, sina tumbo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
 
Nipo kwenye gari nasafiri, pembeni yangu kaka mdada mrembo, barabara inapita kwenye eneo la makaburi, yule dada anauliza, eti hayo ni makaburi eee? namjbu hapana hapo ni sokoni
 
Jamani mm napenda majibu km haya lkn najikuta siko active katika kurespond, poor me!! ila leo nshajifunza watanikomaaaa[emoji23]
 
Mtu anakupigia cm usiku sana , anakuuliza umelala [emoji4] mjibu nipo nje naota jua[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…