mnyepe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2008
- 1,907
- 660
Mmepewa assignment ya group,siku ya Presentation umesogea mbele ili uliwakilishe group Lecturer anauliza Umekuja kupresent?....Hapana nimekuja kucheza mziki wa Awilo
Hapo hapo nakuahidi kukushika...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepewa assignment ya group,siku ya Presentation umesogea mbele ili uliwakilishe group Lecturer anauliza Umekuja kupresent?....Hapana nimekuja kucheza mziki wa Awilo
Hapo hapo nakuahidi kukushika...
kwani na ww ni excel ip, ni ile ya Microsoft au?
Nitakutandika bakora hata kama ni mtu mzima!....Lol
Mtu hajakuona cku nyingi anajikuta anakuuliza ni wewe kweli au nakufananisha unamjibu kistaarabu tu hapana ni Izraeli mtoa roho
Umebeba ndoo ya maj unaelekea bafuni alf unataulo m2 anakuulza, unaenda kuag?......hapana naenda kuosha vyombo
ha ha ha ha ha ha ha ha umetisha kaka
Mmepewa assignment ya group,siku ya Presentation umesogea mbele ili uliwakilishe group Lecturer anauliza Umekuja kupresent?....Hapana nimekuja kucheza mziki wa Awilo
uko mashineni mtu anakuuliza naona uko mashineni ....hapana niko chooni
Upo online whatapp rafiki yako anakutumia text anakuliza leo upo online
Una mjibu nipo bugeni dodoma