Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Hivi mpaka siku hizi kumbe bado watu wanatongozana
 
hawa wajeiefu na wenzao wa badoo n.k ukiwatext utaskia

  • ushaniona mi malaya eeh?
  • mi so type yako
  • mi so cheap kiivo bro
  • sipo hapa kwa mambo hayo
  • mi expensive huniwezi
  • ur not my type
Huyu atakuwa mwanamke dume😂
 
Huyo sio mwanamke wala msichana anayejibu hivyo, ila ni mtoto mdogo wa kike.

Wakulungwa wanajibu hivi "Utaweza kunihudumia?"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kutongoza watoto.
Nakujibu ntaweza,sh ngapi Kwa mwezi🤣🤣🤣(jokes)
 
Back
Top Bottom