Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Huna mke kweli wewe?
Unafanya kaz gani?
Hapo unapokaa umejenga?

Yaan ni njaa njaa tu, kazi ya mtu wewe inakuhusu nini? Focus siku hizi ipo kwenye maokoto, hakuna mapenzi kabisa! Sema watu wa hivyo kuwala ni simple sana.
🤣🤣🤣Haya si ni maswali ya afisa NIDA kabisa?Hujawahi kuulizwa jina la mama Yako mzazi??maana lina kazi Binafsi
 
Baada ya kuulizwa umeoa? Huwa najibu kwa sauti kubwa NDIOOOO Nina mke na watoto wawili,,, swali linalofata...
Siuna mke wewe? inachotakiwa ufanye ni kuijali na kutulia na familia yako, Sasa vipi tena habari za kunitaka eti unanipenda na Mimi?

Wazee Hilo swali Huwa ni gumu tena ni rhetorical question maana maana majibu yake yatahalalisha uchepukaji na mabwege wengine wanajikuta wanawaponda wake zao hayo ni makosa makubwa.
Mimi Huwa najibu hivi.....
Habari za mke na familia keep constant maana mambo mengine lazima yaendeleee.
 
Jana nimeulizwa swali la kijinga baada ya kutamba nimepima ngoma na niko fresh. Eti naambiwa kuna demu nimegonga kavu.
Ila alipita mulemule, kuna toto lilinipa masharti lazima linipime ndio linipe uchi
 
Baada ya kuulizwa umeoa? Huwa najibu kwa sauti kubwa NDIOOOO Nina mke na watoto wawili,,, swali linalofata...
Siuna mke wewe? inachotakiwa ufanye ni kuijali na kutulia na familia yako, Sasa vipi tena habari za kunitaka eti unanipenda na Mimi?

Wazee Hilo swali Huwa ni gumu tena ni rhetorical question maana maana majibu yake yatahalalisha uchepukaji na mabwege wengine wanajikuta wanawaponda wake zao hayo ni makosa makubwa.
Mimi Huwa najibu hivi.....
Habari za mke na familia keep constant maana mambo mengine lazima yaendeleee.
Kuna mijinga huwa inakana kabisa ndoa
 
Back
Top Bottom