Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

Awamu ya nne trillions zilitumika kuhusu umeme wa gesi na bomba kujengwa kwa gharama kubwa sana. Na tulihakikishiwa kwamba matatizo ya umeme Tanzania yatakuwa history.

Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.

Bomba la gesi toka Mtwara lililojengwa kwa trillions za walipa kodi sasa linatumika kwa asilimia 6 tu huku 94% ikiwa idle. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi unaofanywa na huyo nduli wa magogoni.
Lakini mbona mitambo ya Kinyerezi inaendelea kupanuliwa, kama sikosei wanaendelea na Kinyerezi 3 na Kinyerezi 4 itafuata, sasa sijui unatakaje.
 
Sasa mbona unajidhibitishia wewe mwenyewe kwamba gesi bado inaendelea kutumika tofauti ya unachodai kwamba gesi imetelekezwa?
 
Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.

Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.

Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Mbona miradi ya Kinyerezi inaendelea vizuri tu na inaendelea kupanuliwa, tatizo nini? Ni lazima.tuwe na vyanzo tofauti tofauti ili huku pakisumbua tunaendelea kutumia njia nyingine kama backup..
 
Unaiamini hii Serikali ya wasema uongo!?

Lakini mbona mitambo ya Kinyerezi inaendelea kupanuliwa, kama sikosei wanaendelea na Kinyerezi 3 na Kinyerezi 4 itafuata, sasa sijui unatakaje.
 
Hivi ni lini ulipewa UMOD humu wa kulazimisha watu wachangie vile utakavyo wewe!? 😳

Usijibaraguze humu na kujipa madaraka usiyokuwa nayo. Anzisha forum yako huko utakuwa huru kuwalazimisha waandike vile upendavyo wewe lakini si humu. Drama zako peleka kwingine, kama huna cha maana cha kuchangia kuhusu mada husika pita kimya kimya badala ya kujikweza kama vile wewe ni MOD humu.
Sio kwamba kapewa uMod, unajibu kwa kujishebedua sana.
 
Nijishebedue ili iweje mpuuzi wewe!? Soma kwa kituo nilichoandika siyo kukurupuka na kuandika ujinga wako.

Tuliambiwa Gesi itamaliza matatizo ya umeme nchini sasa huyo dhalimu kwanini akurupuke tena na mkopo tusiohitaji wa trilioni 7 na kuharibu mazingira kwa kukata miti zaidi ya milioni tatu.

Sio kwamba kapewa uMod, unajibu kwa kujishebedua sana.
 
Je maji ni chanzo ya uhakika?tusije haribu mazingira ukaja ukame ikaja stori ya mtera ya kununua mvua
Mvua zikisuasua tutaendelea kutumia umeme wa Kinyerezi kama backup, ndio maana ni muhimu kuwa na vyanzo vingi vya umeme
 
Acha kukurupuka kutafuta justifications za kulipwa buku 7 zako.

Huyo muongo wa chato hata aibu hana eti mabepari wametunyang’anya gesi yetu!!!! Yeye si alikuwemo bungeni alifanya nini ili kuwazuia mabepari!? 😳😳😳😳

Mbona miradi ya Kinyerezi inaendelea vizuri tu na inaendelea kupanuliwa, tatizo nini? Ni lazima.tuwe na vyanzo tofauti tofauti ili huku pakisumbua tunaendelea kutumia njia nyingine kama backup..
 
Acha kukurupuka kutafuta justifications za kulipwa buku 7 zako.

Huyo muongo wa chato hata aibu hana eti mabepari wametunyang’anya gesi yetu!!!! Yeye si alikuwemo bungeni alifanya nini ili kuwazuia mabepari!? 😳😳😳😳

Sasa mimi nimesema hoja ipi na wewe unajibu nini? Ni kama mtu akwambie lile gari lina rangi ya blue, halafu wewe badala ya kukubali au kupinga kwa hoja unaanza "unajua dereva lile gari yuko rough sana, hajali mashimo wala nini..."; sasa sijui tatizo ni huelewi au unajipagawisha, yaani hueleweki..
 
Una ufinyu wa akili vitu vilivyokuzidi kimo huwezi kuvielewa, usilazimishe.

Sasa mimi nimesema hoja ipi na wewe unajibu nini? Ni kama mtu akwambie lile gari lina rangi ya blue, halafu wewe badala ya kukubali au kupinga kwa hoja unaanza "unajua dereva lile gari yuko rough sana, hajali mashimo wala nini..."; sasa sijui tatizo ni huelewi au unajipagawisha, yaani hueleweki..
 
Gesi bado Ipo ya kutosha TZ na itatumika, ila mwekezaji hataki kulipa Kodi stahiki, anataka mkataba wa awali ambao unainyonya nchi, tumemweka kiporo...

Kwamba wanyama wanaangamizwa..Uongo!! Mbona bwawa la mtera kuna wanyama wengi tena ni hifadhi? Tuunge mkono ujenzi wa " stigo" utatupa heshma kubwa kama nchi.

Mambo..,..stigo
 
JPM alisema anataka by 2025 tuweze kufika uzalishaji wa 10,000MW (sijui kama tutaweza) ila kama plan ni hiyo, lazima gesi itatumika.

Kuwa mpole, vuta subra. Wengi tunaongea utadhani tunajua mipango wa serikali ni nini. Subiri tutaona.
 
Kuna watu wanapinga mradi wa stieglers kwa hoja ya uharibifu wa mazingira. Ni ama hawajui wanachokiongea au wanatumiwa na mabeberu au ni wasomi wanaokariri nadharia za kwenye makaratasi bila kuangalia uhalisia wa mambo.
Mtu anatetea uhifadhi wa mazingira kwa kuikosesha Tanzania na watanzania uhakika wa nishati ya umeme! Unashindwaje kuona ukubwa wa faida anayoipata mtanzania kwa kukingia kifua uharibifu wa mazingira ambao nchi za dunia ya kwanza zinaendelea kuyachafua kila leo katika harakati zao za kujiimarisha kiuchumi.
Masikini Tanzania!
 
Swali;
Kwanini hao wawekezaji katika visima vya gesi vya baharini hawaivuni kwa sasa na kuuza nchi za nje na hivyo kama taifa kuweza kupata kodi yetu ?

Je ni kweli au uwongo hiyo mikataba ililenga kuuza gesi hiyo soko LA ndani(Tanzania) ?

Ni kweli mikataba hiyo ni ya kinyonyaji na hivyo kushindwa kuvuna hiyo gesi na kuuza nje ya nchi ?

Hakika hawa watu wanaomba usiku na mchana JPM amalize muda wake watuletee upupu wao!

Miti 2.6mil. siyo hoja!
Wanyama hiyo siyo hoja!
 
Naona kama mleta post siyo mtanzania bila Shaka wewe utakuwa mu south.. Maaana unafanya kila mbinu na unajitahidi kuhangaika huku na kule kupinga hatua za maendeleo zinaazofanywa na Taifa letu pendwa la Tanzania..
Kwa wewe usie ona mbali utaona Kama huu mradi hauna maana Ila kwetu Sisi tulioanza na kuweka mikakati namna tutakavyonufaika na huu mradi tunauombea usiki na mchana ukamilike ili tuanze kutengeneza uchumi wetu.

Ko mkuu usipende kulaumu kila jema linalofanyika hapa Tz.. au unataka mradi wetu ufel ili upate Cha kuongea
 
Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.

Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.

Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Aliyekwambia magufuli ataondoka madarakani Nani, hujazisikia taarifa za wapiga nzumari huko wafumue katiba watoe ukomo wa muda wa Urais!!!?
 
Kuna watu wanapinga mradi wa stieglers kwa hoja ya uharibifu wa mazingira. Ni ama hawajui wanachokiongea au wanatumiwa na mabeberu au ni wasomi wanaokariri nadharia za kwenye makaratasi bila kuangalia uhalisia wa mambo.
Mtu anatetea uhifadhi wa mazingira kwa kuikosesha Tanzania na watanzania uhakika wa nishati ya umeme! Unashindwaje kuona ukubwa wa faida anayoipata mtanzania kwa kukingia kifua uharibifu wa mazingira ambao nchi za dunia ya kwanza zinaendelea kuyachafua kila leo katika harakati zao za kujiimarisha kiuchumi.
Masikini Tanzania!
Tuliambiwa gesi ndo mwisho wa matatizo.Huu wimbo wa gesi Mwisho wa matatizo umeishia wapi?
 
Back
Top Bottom