FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Lakini mbona mitambo ya Kinyerezi inaendelea kupanuliwa, kama sikosei wanaendelea na Kinyerezi 3 na Kinyerezi 4 itafuata, sasa sijui unatakaje.Awamu ya nne trillions zilitumika kuhusu umeme wa gesi na bomba kujengwa kwa gharama kubwa sana. Na tulihakikishiwa kwamba matatizo ya umeme Tanzania yatakuwa history.
Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.
Bomba la gesi toka Mtwara lililojengwa kwa trillions za walipa kodi sasa linatumika kwa asilimia 6 tu huku 94% ikiwa idle. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi unaofanywa na huyo nduli wa magogoni.
Sasa mbona unajidhibitishia wewe mwenyewe kwamba gesi bado inaendelea kutumika tofauti ya unachodai kwamba gesi imetelekezwa?Mitambo mipya ya kufua umeme wa gesi ikiwa tayari kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya kufungwa
Katika Ilani ya Uchaguzi 2015-2020 ya CCM ilihaidi kuendeleza ufuaji wa umeme wa ges katiks Mkoa wa Mtwara ili kumaliza adha ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Mitambo hii ilinunuliwa mapema mwezi January mwaka huu wa 2018.www.jamiiforums.com
Mbona miradi ya Kinyerezi inaendelea vizuri tu na inaendelea kupanuliwa, tatizo nini? Ni lazima.tuwe na vyanzo tofauti tofauti ili huku pakisumbua tunaendelea kutumia njia nyingine kama backup..Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.
Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.
Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Lakini mbona mitambo ya Kinyerezi inaendelea kupanuliwa, kama sikosei wanaendelea na Kinyerezi 3 na Kinyerezi 4 itafuata, sasa sijui unatakaje.
Sio kwamba kapewa uMod, unajibu kwa kujishebedua sana.Hivi ni lini ulipewa UMOD humu wa kulazimisha watu wachangie vile utakavyo wewe!? 😳
Usijibaraguze humu na kujipa madaraka usiyokuwa nayo. Anzisha forum yako huko utakuwa huru kuwalazimisha waandike vile upendavyo wewe lakini si humu. Drama zako peleka kwingine, kama huna cha maana cha kuchangia kuhusu mada husika pita kimya kimya badala ya kujikweza kama vile wewe ni MOD humu.
Sio kwamba kapewa uMod, unajibu kwa kujishebedua sana.
Mvua zikisuasua tutaendelea kutumia umeme wa Kinyerezi kama backup, ndio maana ni muhimu kuwa na vyanzo vingi vya umemeJe maji ni chanzo ya uhakika?tusije haribu mazingira ukaja ukame ikaja stori ya mtera ya kununua mvua
Mbona miradi ya Kinyerezi inaendelea vizuri tu na inaendelea kupanuliwa, tatizo nini? Ni lazima.tuwe na vyanzo tofauti tofauti ili huku pakisumbua tunaendelea kutumia njia nyingine kama backup..
Sasa mimi nimesema hoja ipi na wewe unajibu nini? Ni kama mtu akwambie lile gari lina rangi ya blue, halafu wewe badala ya kukubali au kupinga kwa hoja unaanza "unajua dereva lile gari yuko rough sana, hajali mashimo wala nini..."; sasa sijui tatizo ni huelewi au unajipagawisha, yaani hueleweki..Acha kukurupuka kutafuta justifications za kulipwa buku 7 zako.
Huyo muongo wa chato hata aibu hana eti mabepari wametunyang’anya gesi yetu!!!! Yeye si alikuwemo bungeni alifanya nini ili kuwazuia mabepari!? 😳😳😳😳
Nini kimetokea gesi ya Mtwara hadi kuanza upya na Stiegler`s Gorge?
Tumeaminishwa na kuimbiwa nyimbo na mapambio miaka yote kuwa gesi ya Mtwara ndiyo suluhisho. Nakumbuka kuna watu walipoteza maisha na jeshi letu liliweka kambi kule. Kwa anayejua ni kitu gani kimetokea hadi tunaenda kugombania maji na wanyama wa Selous game reserve na wakati kwa miaka kadhaa...www.jamiiforums.com
Sasa mimi nimesema hoja ipi na wewe unajibu nini? Ni kama mtu akwambie lile gari lina rangi ya blue, halafu wewe badala ya kukubali au kupinga kwa hoja unaanza "unajua dereva lile gari yuko rough sana, hajali mashimo wala nini..."; sasa sijui tatizo ni huelewi au unajipagawisha, yaani hueleweki..
Unakatisha tamaa kwa kweliUna ufinyu wa akili vitu vilivyokuzidi kimo huwezi kuvielewa, usilazimishe.
Sijaenda,hoja yako ni nini?ulienda shule wewe????
Aliyekwambia magufuli ataondoka madarakani Nani, hujazisikia taarifa za wapiga nzumari huko wafumue katiba watoe ukomo wa muda wa Urais!!!?Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.
Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.
Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Tuliambiwa gesi ndo mwisho wa matatizo.Huu wimbo wa gesi Mwisho wa matatizo umeishia wapi?Kuna watu wanapinga mradi wa stieglers kwa hoja ya uharibifu wa mazingira. Ni ama hawajui wanachokiongea au wanatumiwa na mabeberu au ni wasomi wanaokariri nadharia za kwenye makaratasi bila kuangalia uhalisia wa mambo.
Mtu anatetea uhifadhi wa mazingira kwa kuikosesha Tanzania na watanzania uhakika wa nishati ya umeme! Unashindwaje kuona ukubwa wa faida anayoipata mtanzania kwa kukingia kifua uharibifu wa mazingira ambao nchi za dunia ya kwanza zinaendelea kuyachafua kila leo katika harakati zao za kujiimarisha kiuchumi.
Masikini Tanzania!
Kama umesoma vizuri na kuelewa,hili la kwanini suala la gesi limeepukwa jamaa kaliongelea vizuri tu hapa.Tuliambiwa gesi ndo mwisho wa matatizo.Huu wimbo wa gesi Mwisho wa matatizo umeishia wapi?