Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

na
Mkuu umevuta bhange. Unajua ufisadi uliofanyika kwenye gesi au unalopoka tu. Hamjui kuwa mlishasainishwa mikataba ya Mangungo kwenye gesi na yote iko kwa mabeberu na mafisadi wakiisubiri serikali na tanesco waingie kichwakichwa wapigwe
Nani alisainisha?
 
BARIKIWA SANA MKUU
 
nishati ya gas imeishia wapi...walisema tuna gas yapata cubic metre 28 milion...what happenned?tumeanza kukata miti kujenda dam wakati mvua zenyewe hakuna siku hizi..tuna akili kweli?
 
Unaweza tumia umeme huo wa wind turbine ku charge batteries halafu ukabadilisha umeme huo wa DC - AC kwa kutumia inverter.
 
Mkuu ungelinena hili kwa angle ya upinzani wallah mitusi ungeikoga haswaa ila ridhika na ukweli kwamba tuko kwenye raiti traki...
 
inawezekana mkuu kutumia inverter , ila pia BRUSSLESS MOTOR hutoa AC , serikal na wapiga dili hawawezi kubali elimisha jamii katika teknolojia hizi rahis na zisizo na gharama , wakati serikal wanapambana na SOLOR,watu wa solor nao wanapambana na WIND TURBIN, ambayo inamfumo sawa na hiyo hydroelectric tofauti moja inazungushwa na maji ingine inazungushwa na upepo. JAMII hasa za vijijini sasa Waelimishwe kuitumia Windturbin waachane na solor
Unaweza tumia umeme huo wa wind turbine ku charge batteries halafu ukabadilisha umeme huo wa DC - AC kwa kutumia inverter.
 
Hizi teknolojia sio ngumu kiivyo vijana wa sekondari tuu wanafahamu jinsi ya kufanya haya ila tatizo ni utayari wa kuibadilisha elimu ya darasani kuja kutumika kwenye mazingira ya kawaida. Hapo ndipo serikali inatakiwa kuwa na washauri wa kitaalamu kusaidia wananchi ili kusiwe na madhara (mfano, aina ya nyaya na uwezo wake wa kuhimili).

Utakumbuka mabosi wa Tanesco walivyokuwa wanawawekea kauzibe wale jamaa waliokuwa wanatengeneza umeme wao wa maji huko njombe. Serikali ilitakiwa iweke sheria kusaidia watu hao ili waongeze uwezo wa kufanya hivyo , huku serikali ikikusanya kodi kwa wale waouzia wengine.
 
Ni kweli, Ila kwa mtazamo wangu serikal za kiafrica wako after maslai yao , hapa kwetu vyuo vnavyofundisha Tehama na electric enginer,mechanic mpaka na leo.sijawai skia miongoni mwa wanafunzi wao wamebuni kitu fulani , pengine wapo ila utakuta wakibuni kikifika katika wizara zetu wapiga deal huuza kwa wachina teknolojia hizo , na china wako fasta kununua teknolojia uliyobuni kwa kigezo cha niuzie moja kama sample kikienda kwao wanakichunguza zaidi we ukijua watarudi tena utaskia wametoa kitu kile kile.
 
THIS PROJECT IS A WHITE ELEPHANT PROJECT PERIOD, hii mradi ni wa kula hela tu, hata by 2030 bado hakutakuwa na umeme wa 2100MW, ni vile hii serikali haina watu weye elimu
Bado unaamini hivi?
Aliyekwambia magufuli ataondoka madarakani Nani, hujazisikia taarifa za wapiga nzumari huko wafumue katiba watoe ukomo wa muda wa Urais!!!?
Upo?

Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.
Umepotea sana, ulikuwa unaupinga sana huu mradi. Vipi kuhusu chanjo ya uviko bado unaitetea hasa baada ya kuongezeka kwa idadi ya vifo?
 
Binadamu waonapenda mambo marahisi yasiyoumiza kichwa, ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…