Richard Kasubi
Member
- Sep 16, 2018
- 64
- 53
Lakin mbona kuna watu wanatoa hizi mambo obline Youtube huko they way kujibu maswaki sioni cha kushangazaMnapenda sana kukariri. Umepata elimu ya kukariri unataka ukariri na Interview. Tutorial Assistant ambaye una semekana kuwa na GPA ya 3.5 and above unakuja kuuliza kuhusu Interview
Sasa jiulize graduate ameshindwa kwenda huko utube apate skills yeye anataka specific interview za gender issuesLakin mbona kuna watu wanatoa hizi mambo obline Youtube huko they way kujibu maswaki sioni cha kushangaza
Degree nyingi za rushwa ya ngono na kukariri kariri mtu una GPA ya 3.5 na zaidi bado hujiamini kwenye ulichosomea tena mambo mepesi kama Gender issue maana yake ni nin. Hovyo kabisa wahitimu wa vyuo vikuu vya Tanzania hawawezi kushindana kimataifa.Umegraduate chuo gani...?
Siku hizi mnapewa pewa tudegree kama pipi💔
Ndo maana saivi ni mwendo Wa interview...Degree nyingi za rushwa ya ngono na kukariri kariri mtu una GPA ya 3.5 na zaidi bado hujiamini kwenye ulichosomea tena mambo mepesi kama Gender issue maana yake ni nin. Hovyo kabisa wahitimu wa vyuo vikuu vya Tanzania hawawezi kushindana kimataifa.
Hovyo kabisa huyo Graduate wa sasa kazi ni kukariri kariri akishamaliza chuo kila kitu kichwani kimepotea. Hufai kuwa TA tafuta kazi nyingine ya kufanya kwa uwezo wako hata tafiti hutaweza kufanya kabisa, Utakuwa mzigo kwenye department na faculty husika.Hufai kuwa TA, field yako tunaamini unaijua vizuri na ndio maana unataka kuwa TA na huko baadae kuwa lecturer, hii kuuliza maswali inaonyesha ww sio mtabe
Si ajabu sasa hivi graduates ni wachovu sana
what are the differences between tutorials and lectures?Habari zenu wakuu!
Naomba kujua baadhi ya Maswali ambayo yanaulizwa kwenye Interview (Oral na Written) kwa nafasi ya Tutorial Assistant.
Tena wabane kweli kweli wamezoea ujanja ujanja sana. Naona nyuzi nyingi za mambo ya Interview tena mtu ana uliza kwenye fani husika ina onesha jinsi gani wahitimu hawajaiva kwenye fani zao je ikija kwenye mambo mengine ya ziada itakuaje.? Na ndio maana wadau wa nje wanasema graduate wa Tanzania hawa ajiriki.Ndo maana saivi ni mwendo Wa interview...
Vyou siku hizi haviaminiki...
Ndio hili nililosema, TA anauliza maswali afaulu mtihani. Na si ajabu akafaulu kweli na akawa TAHovyo kabisa huyo Graduate wa sasa kazi ni kukariri kariri akishamaliza chuo kila kitu kichwani kimepotea. Hufai kuwa TA tafuta kazi nyingine ya kufanya kwa uwezo wako hata tafiti hutaweza kufanya kabisa, Utakuwa mzigo kwenye department na faculty husika.
Swali la kitoto.mno.what are the differences between tutorials and lectures?
Ni kweli ila siku hizi ndio wan vyofanya ile habari ya kubakizwa kwa kuwa una GPA kubwa haitumiki. Wanatangaza then watu wana aomba tena wahitimu vyuo tofauti then wana short list kwa ajili ya interview.Ndio hili nililosema, TA anauliza maswali afaulu mtihani. Na si ajabu akafaulu kweli na akawa TA
Ndio eliku yetu hii imefikia hapa. Kwanza mm sikubaliani na utaratibu wa kuajiri huu unaotumika kuajiri TA maana ndio baadae huleta shida
Ilipaswa ifanyuke recruitment baada ya mwaka wa masomo kuisha na kuangalia toka mwanzo yupi alikua vizuri na huyo ndio anachukuliwa/wanachukuliwa
Ndio nasema naona ni utaratibu wa hovyo. Utaratibu wa zamani ulikua mzuriNi kweli ila siku hizi ndio wan vyofanya ile habari ya kubakizwa kwa kuwa una GPA kubwa haitumiki. Wanatangaza then watu wana aomba tena wahitimu vyuo tofauti then wana short list kwa ajili ya interview.
sure,Swali la kitoto.mno.