Maswali ya usaili wa Tutorial Assistant, Gender and Development

Maswali ya usaili wa Tutorial Assistant, Gender and Development

Mnapenda sana kukariri. Umepata elimu ya kukariri unataka ukariri na Interview. Tutorial Assistant ambaye una semekana kuwa na GPA ya 3.5 and above unakuja kuuliza kuhusu Interview
Lakin mbona kuna watu wanatoa hizi mambo obline Youtube huko they way kujibu maswaki sioni cha kushangaza
 
Umegraduate chuo gani...?
Siku hizi mnapewa pewa tudegree kama pipi💔
Degree nyingi za rushwa ya ngono na kukariri kariri mtu una GPA ya 3.5 na zaidi bado hujiamini kwenye ulichosomea tena mambo mepesi kama Gender issue maana yake ni nin. Hovyo kabisa wahitimu wa vyuo vikuu vya Tanzania hawawezi kushindana kimataifa.
 
Hufai kuwa TA, field yako tunaamini unaijua vizuri na ndio maana unataka kuwa TA na huko baadae kuwa lecturer, hii kuuliza maswali inaonyesha ww sio mtabe

Si ajabu sasa hivi graduates ni wachovu sana
 
Ndo maana saivi ni mwendo Wa interview...
Vyou siku hizi haviaminiki...
 
Hufai kuwa TA, field yako tunaamini unaijua vizuri na ndio maana unataka kuwa TA na huko baadae kuwa lecturer, hii kuuliza maswali inaonyesha ww sio mtabe

Si ajabu sasa hivi graduates ni wachovu sana
Hovyo kabisa huyo Graduate wa sasa kazi ni kukariri kariri akishamaliza chuo kila kitu kichwani kimepotea. Hufai kuwa TA tafuta kazi nyingine ya kufanya kwa uwezo wako hata tafiti hutaweza kufanya kabisa, Utakuwa mzigo kwenye department na faculty husika.
 
Walioomba wako mia tano sifa wote mnafanana kwa nini tukuajiri wewe?
 
Habari zenu wakuu!

Naomba kujua baadhi ya Maswali ambayo yanaulizwa kwenye Interview (Oral na Written) kwa nafasi ya Tutorial Assistant.
what are the differences between tutorials and lectures? :pulpTRAVOLTA:

briefly explain to us principles of tutoring...
 
Ndo maana saivi ni mwendo Wa interview...
Vyou siku hizi haviaminiki...
Tena wabane kweli kweli wamezoea ujanja ujanja sana. Naona nyuzi nyingi za mambo ya Interview tena mtu ana uliza kwenye fani husika ina onesha jinsi gani wahitimu hawajaiva kwenye fani zao je ikija kwenye mambo mengine ya ziada itakuaje.? Na ndio maana wadau wa nje wanasema graduate wa Tanzania hawa ajiriki.
 
Hovyo kabisa huyo Graduate wa sasa kazi ni kukariri kariri akishamaliza chuo kila kitu kichwani kimepotea. Hufai kuwa TA tafuta kazi nyingine ya kufanya kwa uwezo wako hata tafiti hutaweza kufanya kabisa, Utakuwa mzigo kwenye department na faculty husika.
Ndio hili nililosema, TA anauliza maswali afaulu mtihani. Na si ajabu akafaulu kweli na akawa TA
Ndio eliku yetu hii imefikia hapa. Kwanza mm sikubaliani na utaratibu wa kuajiri huu unaotumika kuajiri TA maana ndio baadae huleta shida
Ilipaswa ifanyuke recruitment baada ya mwaka wa masomo kuisha na kuangalia toka mwanzo yupi alikua vizuri na huyo ndio anachukuliwa/wanachukuliwa
 
Kkwakweli Dalili kubwa kuwa elimu itolewayo na vyuo vyetu ni DUNI ni waajiri ikiwemo serikali yenyewe kutowaamini waombaji wa kazi: ila pia waajiri kutojiamini hata wakiajiliwa...kuna siku nilienda halmashauri fulani kwa ajili ya consultancy assignment fulani ya kudevelop funding scheme ya mradi wa maji ya visima vijijini..maafisa ambao walikuwa assigned nifanye nao kazi ni mchumi, mtakwimu na watendaji kata..nilichogundua wakawa na inferiority kwenye zoezi hasa nilipokuwa nawashirikisha kwenye aspects kadhaa..yani walionekana kutojiamini as if wanakuwa assessed! Ila kweli vyuo havituandai kuwa competent, nadhani wanafunzi wenyewe wanapaswa wajue wanaposoma wahakilishe wanalenga kwenye uelewa wenye kusaidia kufanya uhalisia watapokuwa ktk ajira au kujiajiri
 
Ndio hili nililosema, TA anauliza maswali afaulu mtihani. Na si ajabu akafaulu kweli na akawa TA
Ndio eliku yetu hii imefikia hapa. Kwanza mm sikubaliani na utaratibu wa kuajiri huu unaotumika kuajiri TA maana ndio baadae huleta shida
Ilipaswa ifanyuke recruitment baada ya mwaka wa masomo kuisha na kuangalia toka mwanzo yupi alikua vizuri na huyo ndio anachukuliwa/wanachukuliwa
Ni kweli ila siku hizi ndio wan vyofanya ile habari ya kubakizwa kwa kuwa una GPA kubwa haitumiki. Wanatangaza then watu wana aomba tena wahitimu vyuo tofauti then wana short list kwa ajili ya interview.
 
Ndio nasema naona ni utaratibu wa hovyo. Utaratibu wa zamani ulikua mzuri
 
Swali la kitoto.mno.
sure,
ni swali la kitoto sana kwa mwerevu mwenye majivuno, anaejiskia hivi na kujidai sana dah....

na actualy,
jibu lako pia ni miafaka sana kwa kumkatisha tamaa kijana asie jua chochote kuhusu asichokijua :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom