Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

Public Finance and taxation.

Somo hilo lipo katika masomo ya CPA.
Kama alisoma Uchumi form five na six hiyo mambo ipo pia. Hivyo anaweza akazama pia kwenye nondo za NBAA kwa faida zaidi, maana hizi Paper kupiga namba ya kiatu kwa Diploma/Degree holder imekuwa ni kawaida sana.
 
Habari za muda huu.

Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi?

Note:- diploma holder
TAA
 
Back
Top Bottom