Kama alisoma Uchumi form five na six hiyo mambo ipo pia. Hivyo anaweza akazama pia kwenye nondo za NBAA kwa faida zaidi, maana hizi Paper kupiga namba ya kiatu kwa Diploma/Degree holder imekuwa ni kawaida sana.
Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi?