Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Huyu mzee atapigwa laana moja na uzao wake atajuta. Analurudisha sana nyuma hili taifa kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake.Kikwete namna anavyozeeka ndivyo akili zake zinavyopukutika utadhani majivu kwenye Jiko la Ubwabwa wa shughuli
Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Ana tamaa isiyoelezeka!Huyu mzee atapigwa laana moja na uzao wake atajuta. Analurudisha sana nyuma hili taifa kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake.
Kikwete anataka mwanae nae one day awe Raisi wa TanzaniaNaona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
CCM imejaa majitu MAJINGA sanaCCM inawaona watu wote ni mapunguani kama akina Mwashambwa!!
OKTOBA TUNATIKI, SAMIA. We poyoyo utaendelea kulalamika huna unachoweza kuzuia. Nyie ni mazombie. Umeandika matope bila ht haya. Hayo mabadiliko mkayafanye huko ndani kwenuNaona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
OKTOBA TUNATIKI SAMIANo reform No election
Bora huyo alikuwa nazo, je ww ambaye hujawahi kuwa nazo?Kikwete namna anavyozeeka ndivyo akili zake zinavyopukutika utadhani majivu kwenye Jiko la Ubwabwa wa shughuli
OKTOBA TUNATIKINrNe
Ndo anachopigania saivi. Anamouwadia Samia vibaya sana ili Rudhiwani aje kuwa Rais.Kikwete anataka mwanae nae one day awe Raisi wa Tanzania
Kuna ambao wanataka fairness kwenye chaguzi Sasa magu alipeleka bungeni wabunge wa CCM WOTEEEE
ALAFU Bado tuna shida ya matundu ya choo, hatuna nyumba za walimuu, walimu hawatoshii, polisi hawana makazi, shida za majiii, miundo mbinu afya, elimu, barabara. E.t.c
Ukiwa na akili timamu CCM hatuwaitaji Tena maana wameshindwa kutuletea maendeleo ya dhati..
Kwa katiba yetu hii tuliyo nayo inaitaji Raisi MWENYE INTEGRITY KUBWA Sanaa kwa Sasa hatuna hao WATU hapo juu for suree
Binafsi Mimi kwa Sasa na kwa muda mrefu ni aina ya watu Kama JPM, NYERERE, MDUDE,LISSU,LOWASSA ,GWAJIMA, MPINA e.t.c