Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Wenye intergrity hawana ubunifu wowote wa kuipeleka Tanzania hatua moja mbele. Mungu hakupi vyote.Yaan anaongea kama tume enda likizo ya kufikiria
For sure mama Samia hastaili kuongoza hili taifaa maana kwa hii KATIBA hii tuliyo nayo inaitaji Raisi MWENYE INTEGRITY KUBWA Sana Sanaa so mama Samia Hana integrity yoyoteee
JPM alikuwa mtendaji mzuri sana na mwenye elimu kubwa akiwa na akili za kijamaa lakini alikosa uwezo wa kushawishi jamii mbalimbali ili ziongee lugha moja.
Samia hana utendaji mkubwa na elimu yake ni ya kawaida, lakini anajua sana kujishusha na anao uwezo wa kuwaunganisha watu mbalimbali ili waongee lugha moja, pia anazo akili za kibiashara ule uwezo wa kufika popote duniani na kuwaita wawekezaji waje Tanzania.