Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,527
...
Kabisa yaani!CCM inawaona watu wote ni mapunguani kama akina Mwashambwa!!
Nakuona Ofisa Doria mitandaoni unavyohangaikaBora huyo alikuwa nazo, je ww ambaye hujawahi kuwa nazo?
OKTOBA TUNATIKI
Hakuna watu wanaoishi kwa stress taifa hili kama nyumbu.......Kwakweli wanahangaika🤣🤣🤣Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kuna muda unawaza unaona hawa wanatuonaje sisi wananchi? Hata sheria na katiba iliyopo na mapungufu yake bado inakanyagwa unaita Tume huru ile hali imerithi kila kitu kutoka Tume ya zamani kasoro Jina tu tatizo wanadhani kufanya haya mambo kama nikutupa hisani wananchi they are not obliged kufanya mabadilikoNaona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.

Kama bi khadija kopa anapendwa kwa nini sasa amekuwa akitumia nguvu nyingi kuonesha kwamba umma unamkubali?kwa nini anaogopa uchaguzi kuwa huru na wa haki?kwa nini ana tumia mamlaka aliyonayo kuwanyanyasa wanaompinga?Hakuna watu wanaoishi kwa stress taifa hili kama nyumbu.......Kwakweli wanahangaika🤣🤣🤣
Tone tone haieleweki; no reform no election imekuwa mipasho ya kwenye vijora tu Sasa na si ya watu makini. Mungu anazidi kuishushia neema Tanzania Huku Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, anazidi kutakata. Aisee nyumbu poleni maana mnadili na karma ya Mungu.
Mnaohangaika ni nyie au Chadema?Hakuna watu wanaoishi kwa stress taifa hili kama nyumbu.......Kwakweli wanahangaika🤣🤣🤣
Tone tone haieleweki; no reform no election imekuwa mipasho ya kwenye vijora tu Sasa na si ya watu makini. Mungu anazidi kuishushia neema Tanzania Huku Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, anazidi kutakata. Aisee nyumbu poleni maana mnadili na karma ya Mungu.
Apigwe ban mjinga huyu. Wanachanganyikiwa wanavyoona wanakaliwa kooni.
Sio kosa lakoNyie wote kenge
Haiwezi kuwa "tamaa isiyo elezeka".Ana tamaa isiyoelezeka!
NO REFORMS NO ELECTIONNaona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Hawatakuelewa hao wameshibaNaona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Huwezi kujenga daraja la busisi litakalotumiwa na mamilioni ya watu halafu uibe kura siku za uchaguzi.Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Hawa hata aibu walisha malizaNaona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;
1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?
2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?
3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?
4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?
5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?
6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?
Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024
toka lini kwanza alikua na akili? yule ni muhuni na mharibifu na fisadi mlafi asiyetosheka mharibu uchumi. kazi kuchekacheka hovyoKikwete namna anavyozeeka ndivyo akili zake zinavyopukutika utadhani majivu kwenye Jiko la Ubwabwa wa shughuli