Maswali yangu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kikwete

Wengi wanaoishabikia CCM na kuona upinzani hauna mchango kwenye kuchochea maendeleo kwa kuiwajibisha serikali kupitia vyombo vya kikatiba kama bunge watakuwa ama ni matajiri au ni sehemu ya serikali.

Kama ni mlala hoi kama mimi ama atakuwa ni tahira au msukule.
 
Kuna muda unawaza unaona hawa wanatuonaje sisi wananchi? Hata sheria na katiba iliyopo na mapungufu yake bado inakanyagwa unaita Tume huru ile hali imerithi kila kitu kutoka Tume ya zamani kasoro Jina tu tatizo wanadhani kufanya haya mambo kama nikutupa hisani wananchi they are not obliged kufanya mabadiliko

No reform No Election
CCM wanatudharau sana wananchi. Na wanatuona sisi ni kama mazezeta fulani hivi ambao hatuwazi hatufikirii na hatuwezi fanya lolote. Ndo mana wanalichezea sana hili Taifa.
 
Wengi wanaoishabikia CCM na kuona upinzani hauna mchango kwenye kuchochea maendeleo kwa kuiwajibisha serikali kupitia vyombo vya kikatiba kama bunge watakuwa ama ni matajiri au ni sehemu ya serikali.

Kama ni mlala hoi kama mimi ama atakuwa ni tahira au msukule.
Huwezi kushabikia CCM na upuuzi wanaoufanya hapa Tanzania alafu ukawa mzima kichwani.
 
Kwani kuna haja ya kupiga kura? Si mmeshapoka uchaguzi?
SGR inafika Mwanza muda huu hakuna sababu ya wizi wa kura.

Msalato Airport inakamilika mtu atatoka moja kwa moja Cairo na kutua Dodoma bila kupitia Dar au Kilimanjaro, hakuna sababu ya wizi wa kura.

REA wanafikisha umeme nchi nzima muda huu, hakuna sababu ya kupoka uchaguzi.
 
Huwezi kushabikia CCM na upuuzi wanaoufanya hapa Tanzania alafu ukawa mzima kichwani.

CCM imebakia maalum kwa mashetani. Chama kimegeuka na kuwa maalum kwa watoa roho za binadamu wenzao.

Ni aheri mtu uishi bila chama kuliko kuwa mwanaCCM, kuwa mwanaCCM ni kujitia unajisi, na wewe kuwa mmoja wa wafuasi wa ibilisi, wanaoteka na kuua wanadamu.
 
Waovu wafuasi wa shetani wote watatiki kwake. Lakini wapenda haki, wenye Roho wa Mungu kamwe hawawezi kumwunga mkono mtuanayeteka na kuwaua wanadamu wenzake.
Kuua binadamu ni tendo haramu ambalo lipo kabla ya Samia hajaingia ikulu na litakuwepo baada ya kuondoka ikulu.

Wenye kujua anafanya nini katika kutimiza ilani ya CCM tumpa tiki zetu mapema asubuhi.
 
Hiki ni kizee cha hovyo sana. Ukimsikiliza yeye na mke wake anayozungumza Bungeni utaelewa kabisa kuwa mkwamo wa Taifa hili unatokana na hii familia yake.
Huyu ni mzigo kwa Taifa, kama kuna mtu alistahili kutekwa na kuuwawa kwa manufaa ya Taifa ni hiki kizee.
 
Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.

Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.

Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;

1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?

2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?

3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?

4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?

5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?

6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?

Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kikwete anampambania sana Samia yumkini anamaslahi yake kwa uraisi wa Samia
 
Swali la kwanza ni SWALI AMBALO LIKIJIBIWA VIZURI NA KWA USAHIHI LINAJIBU MASWALI YOTE ULIYOULIZA! Kuna namna watz wengi tunaonekana elimu hakuna
 
Kikwete anampambania sana Samia yumkini anamaslahi yake kwa uraisi wa Samia
Yeye ndo De facto president na anajiweka karibu nae ili Ridhiwani badae aje kuwa Rais.

Hakuna Mzee mlafi, opportunist na selfish kama yule mzee. Yeye na mke wake wanachowazaga ni wao na familia yao waendelee kuneemeka tu.
 
Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.

Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani kukawa na free thinking kwenye kongamano lenu hilo maana haiwezekana Mawakili wa Serikali kuandaa kongamano ambalo litajadili masuala kinyume na matakwa ya Boss wao ambaye ndo Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.

Pamoja na upotoshaji wote mliofanya leo tunaomba mtuambie;

1. Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024 uligubikwa na kuenguliwa kusiko kawaida kwa Wagombea wa Vyama vya Upinzani? Takribani wagombea zaidi ya 12,000 wa Chadema walienguliwa na hakuna Mgombea wa Chama Tawala CCM aliyeenguliwa?

2. Kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma, kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi wa Halmashauri na Mtumishi Mwandamizi wa Umma/ Serikali wakati wote mamlaka yao ya nidhamu ni moja?

3. Ili Tume ya Uchaguzi iwe huru kweli, kuna shida gani iwe na wafanyakazi wake wa kudumu? Ukizingatia taifa letu lina mamilioni ya Vijana ambao hawana ajira? Kwa nini Tume iendelee kutumia Wafanyakazi wa Umma kuratibu na kusimamia Uchaguzi?

4. Kama mlifanya maboresho ya Sheria za Uchaguzi kuhakikisha Uchaguzi huru na wa Haki, Kwa nini Matokeo ya Urais hayawezi kupingwa Mahakamani? Kipi kinawafanya mshindwe kufanya Marekebisho ya Katiba kwenye hili?

5. Mahakama ya Rufani ilishatoa maamuzi yake kuhusu suala la Mgombea Binafsi na kuelekeza liwasilishwe Bungeni. Kwa nini Kama mlifanya Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi hamkuweka suala la Mgombea Binafsi? Kwa nini mnawalazimisha Watanzania kuwa na Wagombea wanaotoka kwenye vyama? Vipi kuhusu Wagombea ambao Viongozi wa vyama vyao hawawataki? Mfano Gwajima na Mpina? Kwa nini Marekebisho ya Sheria mliyofanya hayakuweka suala hili ili hawa nao na wengineo wengi wapate haki zao za kuchaguliwa Kama Wagombea binafsi?

6. Mnadai sasaivi Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe wanapatikana kwa njia za Ushindani Kama Sheria inavyotaka. Sasa tuambieni Mwenyekiti aliyepo Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wa Uchaguzi Athumani Kailima, na Makamishna wa Tume akiwepo Kada mtiifu wa CCM Omari Ramadhani Mapuri, walipatikana lini kwa taratibu zipi za ushindani?

Tunataka majibu. Tumeni hata machawa wenu waje kujibu

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kikwete anajiaibisha sana kama Rais mstaafu kuna mambo sio ya kuongea mbele ya watanzania wenye AKILI TIMAMU,na wasomi hasa kwa wakati wa sasa,labda tu changamoto inabaki kuwa ileile ya kuishi kwa mazoea, kikwete amesoma ana Elimu ila sasa Akili ndio changamoto kwake, kikwete ana exposure kubwa tu ktk afrika na ulimwenguni pia ,kiasi angeweza kabisa kuikwamua nchi na shida inayokuja,Akili ni tatizo kubwa,ndio maana kutembea au kuwa na exposure sio kwamba unaweza kusaidia nchi kustaarabika, kikwete ametuthibitishia hilo kuwa pamoja na kutembea nchi nyingi ulimwenguni,na kuitwa kama mwangalizi kwenye chaguzi nyingi na za kidemocrasia ktk Afrika,Bado KIKWETE sio msaada kwenye nchi hii.Kama hauna Akili hata ukatembea ukaumaliza ulimwengu you remain a hopeless person as usual.Ukiwa na Akili lazima tu utajua kwamba Tanzania hatufanyi UCHAGUZI zaidi ya MAIGIZO ya uchaguzi.
 
Huyu Mzee anadhani ana ushawishi Tena kwa yanayoendelea ni kama anayasapot

Mzee napoteza heshima yake kwa Kasi sana, nadhani hata huko ccm watakua wanamchukia
 
Back
Top Bottom