Maswali yangu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kikwete

Hakuna watu wanaoishi kwa stress taifa hili kama nyumbu.......Kwakweli wanahangaika🤣🤣🤣

Tone tone haieleweki; no reform no election imekuwa mipasho ya kwenye vijora tu Sasa na si ya watu makini. Mungu anazidi kuishushia neema Tanzania Huku Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, anazidi kutakata. Aisee nyumbu poleni maana mnadili na karma ya Mungu.
 
Kuna muda unawaza unaona hawa wanatuonaje sisi wananchi? Hata sheria na katiba iliyopo na mapungufu yake bado inakanyagwa unaita Tume huru ile hali imerithi kila kitu kutoka Tume ya zamani kasoro Jina tu tatizo wanadhani kufanya haya mambo kama nikutupa hisani wananchi they are not obliged kufanya mabadiliko


No reform No Election
 

Asante kutusaidia kuonyesha kuwa Mzanzibari yule anajiita mwanasheria msomi ni hafifu sana! Ni vivyo hivyo kwa Ngwini msomi JK. Hebu tumsikikize JK kwanza

Your browser is not able to display this video.
 
Kama bi khadija kopa anapendwa kwa nini sasa amekuwa akitumia nguvu nyingi kuonesha kwamba umma unamkubali?kwa nini anaogopa uchaguzi kuwa huru na wa haki?kwa nini ana tumia mamlaka aliyonayo kuwanyanyasa wanaompinga?
 
Mnaohangaika ni nyie au Chadema?

Chadema wanafanya siasa zao na kila kitu wanachogusa kinatiki.Nyie ndo hamueleweki, mara mfungie shughuli zao, mara mzuie luzuku, mara mlipe mamluki kukihama chama, mara muwalete kina kikwete kitetea upuuzi wenu.

Kwa kifupi nyie CCM ndo mmechanganyikiwa.Chadema hata hawatumii nguvu na sasaivi Tanzania nzima inaimba No Reform No Election
 
NO REFORMS NO ELECTION
huyu kikwete ni kama anatutukana watanzania kule kenya alisema uchaguzi wao ni huru na haki huku anasimama na kukandamiza uchaguzi wa huru na haki. mzee mnafiki huyu na apunzike sasa tutamvunjia heshima aliyo jijengea kwenye taifa, Africa na dunia kwa ujumla
 
Hawatakuelewa hao wameshiba
 
Huwezi kujenga daraja la busisi litakalotumiwa na mamilioni ya watu halafu uibe kura siku za uchaguzi.

Huwezi kuwezesha biashara za viwango mbalimbali halafu uibe kura siku za uchaguzi.

Mnachoshindwa kukielewa ni ukweli kwamba ndani ya miaka mitano baada ya uchaguzi mmoja, muda wote huo CCM inakuwa kazini na wananchi hao hao ambao nyinyi mnawafuata mwaka wa uchaguzi na hizi hoja zenu.

Kuna kura nyingi sana za wadau wa michezo haswa baada ya viwanja viwili vikubwa kumalizika huko Arusha na Dodoma, wapenda michezo ni zaidi ya asilimia 60 ya wananchi wa Tanzania maana yake huo ni uhakika wa kuungwa mkono na kizazi cha vijana wa sasa.
 
Hawa hata aibu walisha maliza
 
Kama Bunge lilishafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Demokrasia mwaka 2022 hadi Februari 2024 kuhakikisha Chaguzi zetu zinakuwa Huru na za Haki, likuwaje Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwezi Novemba 2024

RAIS WA BUNGE LA DUNIA, ASIKIA USHUHUDA WA UGHADAMIZI, SHAMBULIO NA NGUVU DOLA INAVYOTUMIWA VIBAYA

Rais Dr. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Bunge la Dunia na mbele yake kikao kusikia kuhusu dhahama zilizoelekezwa kwa seneta wa jimbo la
Kogi Central la nchini Nigeria, mheshimiwa Natasha Akpoti-Uduaghan...

View: https://m.youtube.com/watch?v=FSJacowepy4
N.B

Mwanadiplomasia tajwa rais mstaafu Dr. Jakaya Kikwete, spika wa Bunge la Dodoma Dr. Tulia Ackson, rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Hassan baada ya shutuma za UN Human Rights Council kule Geneva , Bunge la Ulaya EU Brussels

Je mpo tayari pia aibu ya taifa juu ya ukandamizaji Tanzania ikafika katika Bunge la Dunia IPU ambayo rais wake ni mtanzania Dr. Tulia Ackson

Au mkakubali No Reforms No Election hoja yake ikafanyiwa kazi na pia wafungwa wote wa kisiasa pamoja wanaharakati mkawachiwa kutoka vifungo vya selo za polisi, mahabusu na magereza ?
 
Kikwete namna anavyozeeka ndivyo akili zake zinavyopukutika utadhani majivu kwenye Jiko la Ubwabwa wa shughuli
toka lini kwanza alikua na akili? yule ni muhuni na mharibifu na fisadi mlafi asiyetosheka mharibu uchumi. kazi kuchekacheka hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…