Maswali yangu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kikwete

Swali la kwanza ni SWALI AMBALO LIKIJIBIWA VIZURI NA KWA USAHIHI LINAJIBU MASWALI YOTE ULIYOULIZA! Kuna namna watz wengi tunaonekana elimu hakuna
Hakuna swali wanaoweza kujibu hawa wapuuzi. Wanatuona Watanzania ni mazwazwa sana
 
Ndo anachopigania saivi. Anamouwadia Samia vibaya sana ili Rudhiwani aje kuwa Rais.
Yaan anaongea kama tume enda likizo ya kufikiria

For sure mama Samia hastaili kuongoza hili taifaa maana kwa hii KATIBA hii tuliyo nayo inaitaji Raisi MWENYE INTEGRITY KUBWA Sana Sanaa so mama Samia Hana integrity yoyoteee
 
Kwa hiyo ndo mpoke uchaguzi? Kama mnajiamini mnafanya mambo mazuri lwa nini mnapoka uchaguzi?

Kama mnajiamini mnafanya mambo mazuri kwa nini mnaengua wagombea wa upinzani? Kwa nini wakiahinda hamuwatangazi? Kwa nini mnatunga kanuni za kuzuia uwazi na ukweli kwenye chaguzi Kama kutoruhusu mawakala kuingia na simu?
 

..uko sahihi 100%.

..Na huu ndio wakati sahihi wa Ccm kukubali mapendekezo ya Chadema ktk kurekebisha mifumo yetu ya uchaguzi.

..Ccm wana rekodi ya kukamilisha miradi, pia wana mabilioni ya kutumia wakati wa kampeni, kwa msingi huo hakuna sababu ya kuogopa mabadiliko, na kutesa wanaharakati.
 

Hiyo point ya sita na kilichofanyika 2024 ni dhahili kuwa Maza ana mpango wake.
 
Wanogopa mabadliko ni wale walioshiba kwa wizi mali za Umma lakini Maskini hawezi kuogopa madiliko By Jk Nyerere
 
Polepole alishasema, ikiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki basi nchi itakuwa na sura mpya asubuhi mapema kabisa
 
Haya ni malalamiko ambayo kwa upana wake mpiga kura anayetimizwa shida zake wala hayafahamu, hana hata muda wa kuyawazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…