Maswali yangu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kikwete

Yaan anaongea kama tume enda likizo ya kufikiria

For sure mama Samia hastaili kuongoza hili taifaa maana kwa hii KATIBA hii tuliyo nayo inaitaji Raisi MWENYE INTEGRITY KUBWA Sana Sanaa so mama Samia Hana integrity yoyoteee
Wenye intergrity hawana ubunifu wowote wa kuipeleka Tanzania hatua moja mbele. Mungu hakupi vyote.

JPM alikuwa mtendaji mzuri sana na mwenye elimu kubwa akiwa na akili za kijamaa lakini alikosa uwezo wa kushawishi jamii mbalimbali ili ziongee lugha moja.

Samia hana utendaji mkubwa na elimu yake ni ya kawaida, lakini anajua sana kujishusha na anao uwezo wa kuwaunganisha watu mbalimbali ili waongee lugha moja, pia anazo akili za kibiashara ule uwezo wa kufika popote duniani na kuwaita wawekezaji waje Tanzania.
 
OKTOBA TUNATIKI, SAMIA. We poyoyo utaendelea kulalamika huna unachoweza kuzuia. Nyie ni mazombie. Umeandika matope bila ht haya. Hayo mabadiliko mkayafanye huko ndani kwenu
Jibu hoja madam,mbona makasiriko mwalimu!!??
 
Astaghafirurah!!!!!!

 
Hivi machawa wa mama kwa nini mnafanana kiakili!!??
Kuna hoja pale Lord Denning ameuliza, ninyi mnakuja na yenu yasiyo na maana yoyote kwenye hoja na nnje ya hoja.
 
Hivi machawa wa mama kwa nini mnafanana kiakili!!??
Kuna hoja pale Lord Denning ameuliza, ninyi mnakuja na yenu yasiyo na maana yoyote kwenye hoja na nnje ya hoja.
Hayana msingi hayo aliyouliza, yanakuwa relevant maswali yake mwaka wa uchaguzi tu ukiondoka huu mwaka hayo maswali hayatakuwa na umuhimu kwake na yoyote mwenye fikra kama zake.
 
Mnapoteza muda tu, huu mzuka wa siasa mlionao unakuja kila baada ya miaka mitano, wakati wa uchaguzi.

Huu mwaka 2025 ungekuwa hauna uchaguzi, msingekuja na hizi hoja zenu.
Huna akili.

Watu wanazungumzia Reforms ili nchi ipate viongozi sahihi wanaowahibika kweli kwa Watanzania nyie mnaendekeza mipasho na taarabu.
Wapuuzi wakubwa nyie.
 
Hayana msingi hayo aliyouliza, yanakuwa relevant maswali yake mwaka wa uchaguzi tu ukiondoka huu mwaka hayo maswali hayatakuwa na umuhimu kwake na yoyote mwenye fikra kama zake.
Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi yameanza kuzungumziwa na kudaiwa lini?

Huna akili kabisa wewe.
 
Mitano tenaa.

Mimi ngoja nipambanie pesa na kombe langu kivyangu vyangu...

😁😁
 
Huna akili.

Watu wanazungumzia Reforms ili nchi ipate viongozi sahihi wanaowahibika kweli kwa Watanzania nyie mnaendekeza mipasho na taarabu.
Wapuuzi wakubwa nyie.
Mpuuzi wewe unayehamisha magoli kila siku humu jukwaani. Viongozi sahihi wapo wengi na wanapewa nafasi za kuleta mabadiliko kwenye taasisi mbalimbali.
 
Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi yameanza kuzungumziwa na kudaiwa lini?

Huna akili kabisa wewe.
Yanaongeza chochote kwenye meza ya msosi muda wa jioni?. Samia anaweka mazingira mazuri ya kibiashara ili wafanyabiashara na wajasiriamali waweze kurahisishiwa shughuli zao za kila siku.

Mabadiliko na mbwembwe zote za katiba hayana maana kama mlipa kodi anaishi kwa taabu kila kukicha.
 
Nakuelewa mzee ni heri uwe chawa uingize chochote kuliko kupambania watu wasiojielewa Wala kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…