Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Jipige kifua sema mimi ni mjinga. Wapi umeambiwa wa Congo wanajuta kuondoka kwa Kabila? Kabila aliifanyia nini Congo pamoja na kutawala miaka yote hiyo?Viongozi wa TEC wana hekima sana kwani wanafahamu fika kosa walilofanya viongozi wa katoliki nchini DRC kumpinga hadharani rais Kabila son na matokeo yake ukapatikana uongozi wa Tshisekedi ambaye ameshindwa kutatua changamoto na kupelekea hamaniko la M 23.....
Sidhani TEC watafanya hayo kusababisha taifa letu liangukie katika vikundi kinzani vyenye silaha......
Ni sawa na viongozi wa kiislamu ambao wale wote wenye ufahamu wa UTAWALA na madola kamwe hawawezi kufungua milango ya upuuzi utakaoweza kukita mizizi mibaya dhidi ya "secular state" ambayo mpaka kufikia sasa CCM imejitahidi kuisimamia ,kinyume chake ni VIKUNDI VYA KIGAIDI kwani si CHADEMA wala Tundu Lissu walio na "roadmap" ya kuliendeleza taifa hili lisianguke katika matatizo wanayopitia DRC ,Somalia ,Sudan na hata migongano ya "wenye nguvu siasani" hapo Kenya.........
Sitegemei kuwaona WANADINI na taasisi zao kuandamana ili "kusuffice agenda binafsi za Tundu Lissu" katika hicho kiitwacho "no reform no election"!!
#JMT ni taifa la kipekee lenye utukufu wa kipekee zaidi ya siasa za Kiliberali za Tundu Lissu na magenge yake ya akina Robert Amsterdam!
Hizo stories za vijiweni muishie kuambiana huko kwenye corridor za Lumumba sio humu kwa great thinkers