Pre GE2025 Maswali yangu kwa Wanaosema No Reform No Election haitafanikiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Mwamakula sio askofu ? Mbona siku zone mnakuwa nae?
Mwamakula ni mmoja. Mwamakula hana Taasisi kama TEC.

Mark this comment, leo hii TEC wakisema wataunga mkono maandamano ya amani kurekebisha KATIBA na Sheria za Uchaguzi, Bunge linaloanza la Bajeti mchakato unaanza.

Msichukulie vitu kiwepesi hivyo. Ni bora mkae kimya tu.
 
Hoja no reforms no election ina mashiko kwa sababu hatujawahi kuwa na uchaguzi yangu 2019 Bali uchafuzi na mauaji.

1. Sasa kwanini tusifanye mabadiliko ili tusiendelee kuua watu?!

2. Kwanini turuhusu uchaguzi kuwa uadui na vita!!?

Kama kinachosababisha NI katiba yetu na Sheria zetu ambazo siyo kuruan wala biblia
3. NI nini kinazuia kurekebisha??

4. Hivi Leo akiuawa ndugu yako au mtoto wako kwa ajili ya tofauti za kisiasa utafurahi??!
NI BUSARA NDOGO TU KUEPUSHA SHARI KABLA YA HATARI!!
Nawaza Tu.
Kwa kifungi wanaopinga hoja ya No Reform No Election wanaongozwa na maslahi binafsi. Hawaangalii kabisa maslahi mapana ya nchi.
 
Subiri muone itakavyokuwa. Watu wako serious kuliko mnavyofikiri.
Ukitoa nyumbu wachache, hakuna mtanzania mwingine aliye serious na huo upuuzi. Aliye serious zaidi ni lissu tu sababu hizo tone tone anazihitahi sana Ili zigeuke na kuwa bonge Moja la TONE akajitumbulie zake ubelgiji huko
 
Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA.

Kelele hizi zinapigwa ili kwanza kuwakebehi Chadema na kuendeleza Propaganda za kuwarubuni Watanzania ili waendelee kuwa watumwa wa upuuzi na udhalimu wa CCM.

Pia kelele hizi zinapigwa kwa nia ya kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko ili waone kuwa hakuna namna yeyote kwenye Taifa letu, madai ya haki yatakuja kufanikiwa.

Maswali yangu kwa CCM na watu wao!

1. Endapo leo Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wakasema wanaunga mkono NO REFORM NO ELECTION na watashiriki maandamano ya amani kupinga kufanyika kwa uchaguzi. Je kuna Polisi au mwanajeshi yeyote nchi hii anaweza jaribu kufyatua bomu au risasi dhidi ya waandamanaji wanaoongozwa na maaskofu na Mapadre?

2. Endapo leo Viongozi wa dini ya kiislamu wakasema wanaunga mkono NO REFORM NO ELECTION na watashiriki maandamano ya kudai mabadiliko ya Katiba kabla ya Uchaguzi. Je kuna Polisi au Mwanajeshi atajaribu kuwapiga bosi au kuwafyatulia risasi hao waandamanaji?

3. Endapo leo baadhi ya Maaskofu wa Madhehebu mbalimbali ikiwemo KKKT na CCT na hata Wasabato wakisema wanaunga mkono NO REFORM NO ELECTION na wakaamua kushiriki maandamano ya kupinga uchaguzi bila mabadiliko ya katiba CCM wanadhani kuwa mwanajeshi au askari atajaribu kuwapiga risasi au bomu au maaskofu?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nipende tu kuwaambia CCM na vibaraka wao. Ni heri mkae kimya maana Watanzania sio Wajinga.

Kuna maandamano yakifanyika hapa nchini na yakahusisha watu fulani ( Hasa Viongozi wa Dini) hao polisi mnaowategemea na Wanajeshi hawataweza kuzuia hayo maandamano kamwe.

Msiwakebehi CHADEMA maana hamjui nani atawaunga mkono kesho na kutakuwa na matokeo gani baada ya huo uungwaji mkono.

Kuweni na akiba ya maneno. Watanzania sio wajinga na kila siku wanazidi kuchoka kuwa mazezeta kwa Wanasiasa.
Hoja kuntu je jamii ya kitanzania Itaendelea kunyamaza hadi lini ama kunyamzishwa

Silence surrenders public responsibilities - ukimya nisawa na kusalimu amri kuhusu majukumu yako ya msingi katika jamii
 
Ukiona ukimya kwa jamiii jua mapinduzi ya kijeshi yapo njiani
 
Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA.

Kelele hizi zinapigwa ili kwanza kuwakebehi Chadema na kuendeleza Propaganda za kuwarubuni Watanzania ili waendelee kuwa watumwa wa upuuzi na udhalimu wa CCM.

Pia kelele hizi zinapigwa kwa nia ya kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko ili waone kuwa hakuna namna yeyote kwenye Taifa letu, madai ya haki yatakuja kufanikiwa.

Maswali yangu kwa CCM na watu wao!

1. Endapo leo Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wakasema wanaunga mkono NO REFORM NO ELECTION na watashiriki maandamano ya amani kupinga kufanyika kwa uchaguzi. Je kuna Polisi au mwanajeshi yeyote nchi hii anaweza jaribu kufyatua bomu au risasi dhidi ya waandamanaji wanaoongozwa na maaskofu na Mapadre?

2. Endapo leo Viongozi wa dini ya kiislamu wakasema wanaunga mkono NO REFORM NO ELECTION na watashiriki maandamano ya kudai mabadiliko ya Katiba kabla ya Uchaguzi. Je kuna Polisi au Mwanajeshi atajaribu kuwapiga bosi au kuwafyatulia risasi hao waandamanaji?

3. Endapo leo baadhi ya Maaskofu wa Madhehebu mbalimbali ikiwemo KKKT na CCT na hata Wasabato wakisema wanaunga mkono NO REFORM NO ELECTION na wakaamua kushiriki maandamano ya kupinga uchaguzi bila mabadiliko ya katiba CCM wanadhani kuwa mwanajeshi au askari atajaribu kuwapiga risasi au bomu au maaskofu?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nipende tu kuwaambia CCM na vibaraka wao. Ni heri mkae kimya maana Watanzania sio Wajinga.

Kuna maandamano yakifanyika hapa nchini na yakahusisha watu fulani ( Hasa Viongozi wa Dini) hao polisi mnaowategemea na Wanajeshi hawataweza kuzuia hayo maandamano kamwe.

Msiwakebehi CHADEMA maana hamjui nani atawaunga mkono kesho na kutakuwa na matokeo gani baada ya huo uungwaji mkono.

Kuweni na akiba ya maneno. Watanzania sio wajinga na kila siku wanazidi kuchoka kuwa mazezeta kwa Wanasiasa.
Dah! Kweli Chadema kimekuwa chama cha kitoto kweri kweri!
 
Elewa pointi yangu.

NO REFORM NO ELECTION ikiungwa mkono na kundi lolote lile la kidini, Uchaguzi utahairishwa na tutafanya Reforms.

Tanzania hii hakuna maandamano ya Wanasiasa yanaweza fanikiwa ila Tanzania hii hii, maandamano yeyote ya amani yatakayoungwa mkono na Viongozi wa Dini lazima yatafanikiwa.

Leo hii mfano Baraza la Maaskofu Katoliki likisema litaunga mkono maandamano ya amani kupinga uchaguzi bila mabadiliko amini nakwambia hayo maandamano lazima yatafanikiwa.

Najua CCM wanawazaga kutumia askari na wanajeshi kuwatisha Wananchi ila linapokuja suala la Viongozi wa Dini hata hao Askari na Wanajeshi wanaenda makanisani na misikitini hivyo Hakuna Askari anayeweza kuthubutu kufyatua risasi au bomu kwenye maandamano ya amani yanayoongozwa na maaskofu na ma sheikh nchi hii. Elewa hili neno. HAKUNA.
Na mm elewa hoja yangu,kiongozi wa dini labda Mwalusaku,lakini waliobaki wengi wapo kwa watawala.

Tuombe uhai hamna kitu kitachotokea na uchaguzi utafanyika
 
Kwa hiyo una maanisha hadi Baraza la Maaskofu Katoliki lipo kwa Watawala?

Subiri tuone. Usije kuusahau huu uzi.
 
Ukitoa nyumbu wachache, hakuna mtanzania mwingine aliye serious na huo upuuzi. Aliye serious zaidi ni lissu tu sababu hizo tone tone anazihitahi sana Ili zigeuke na kuwa bonge Moja la TONE akajitumbulie zake ubelgiji huko
Wenye akili wameanza kumtambua Lissu kimataifa kuwa anazungumzia nini. Nyie endeleeni kumbeza, lakini kuna siku dunia itamtambua na hata hawa wanao wasindikiza na mabunduki siku zote nao wataelewa na kuzigeuza kwenye hayo mavitambi yenu.
IMG-20250304-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom