Pre GE2025 Maswali yangu kwa Wanaosema No Reform No Election haitafanikiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Mwamakula sio askofu ? Mbona siku zone mnakuwa nae?
Mwamakula ni mmoja. Mwamakula hana Taasisi kama TEC.

Mark this comment, leo hii TEC wakisema wataunga mkono maandamano ya amani kurekebisha KATIBA na Sheria za Uchaguzi, Bunge linaloanza la Bajeti mchakato unaanza.

Msichukulie vitu kiwepesi hivyo. Ni bora mkae kimya tu.
 
Kwa kifungi wanaopinga hoja ya No Reform No Election wanaongozwa na maslahi binafsi. Hawaangalii kabisa maslahi mapana ya nchi.
 
Subiri muone itakavyokuwa. Watu wako serious kuliko mnavyofikiri.
Ukitoa nyumbu wachache, hakuna mtanzania mwingine aliye serious na huo upuuzi. Aliye serious zaidi ni lissu tu sababu hizo tone tone anazihitahi sana Ili zigeuke na kuwa bonge Moja la TONE akajitumbulie zake ubelgiji huko
 
Hoja kuntu je jamii ya kitanzania Itaendelea kunyamaza hadi lini ama kunyamzishwa

Silence surrenders public responsibilities - ukimya nisawa na kusalimu amri kuhusu majukumu yako ya msingi katika jamii
 
Ukiona ukimya kwa jamiii jua mapinduzi ya kijeshi yapo njiani
 
Dah! Kweli Chadema kimekuwa chama cha kitoto kweri kweri!
 
Na mm elewa hoja yangu,kiongozi wa dini labda Mwalusaku,lakini waliobaki wengi wapo kwa watawala.

Tuombe uhai hamna kitu kitachotokea na uchaguzi utafanyika
 
Na mm elewa hoja yangu,kiongozi wa dini labda Mwalusaku,lakini waliobaki wengi wapo kwa watawala.

Tuombe uhai hamna kitu kitachotokea na uchaguzi utafanyika
Kwa hiyo una maanisha hadi Baraza la Maaskofu Katoliki lipo kwa Watawala?

Subiri tuone. Usije kuusahau huu uzi.
 
Ukitoa nyumbu wachache, hakuna mtanzania mwingine aliye serious na huo upuuzi. Aliye serious zaidi ni lissu tu sababu hizo tone tone anazihitahi sana Ili zigeuke na kuwa bonge Moja la TONE akajitumbulie zake ubelgiji huko
Wenye akili wameanza kumtambua Lissu kimataifa kuwa anazungumzia nini. Nyie endeleeni kumbeza, lakini kuna siku dunia itamtambua na hata hawa wanao wasindikiza na mabunduki siku zote nao wataelewa na kuzigeuza kwenye hayo mavitambi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…