Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Kuhusiana na swala la ajali ya gari kuungua huku mtu akiwa ndani ya gari; jaribu kusikiliza documentary hii hapa:


 
 

Attachments

  • 1671115226180.jpg
    7.6 KB · Views: 9
Kama ikiwa Kama balali je
 
Huyu jamaa taarifa nilizonazo ni kweli kuwa alirudishwa home kwa kuwa pale Swiss alituhumiwa kubaka.Na kwa mujibu wa watu wa karibu na marehemu aliyemtuhumu marehemu kwamba alitaka kubakwa ni mwanamke ambaye walikuwa nae katika mahusiano.Ingawa taarifa hiyo haikuweka wazi kuwa mwanamke huyo alikuwa wa Uswis au nchi nyingine.Taarifa zinasema kuwa ,mtu huyo alifikisha taarifa kwa mamlaka za nchi hiyo ya bara la Ulaya kuhusu kutaka kubakwa na marehemu balozi.Aidha taarifa zinasema kuwa ,inawezekana' kabisa kuwa marehemu Balozi alikuwa katika mahusiano na mtu huyo lakin baada ya mahusiano kuvunjika na vurugu za hapa na pale ndio mwanamke huyo alipofikisha taarifa za kubakwa kwa mamlaka za huko Ulaya.Taarifa hizo zinadai kuwa mwanamke huyo alikuwa na ushahid wa picha na video za vitendo hivyo vya balozi.Aidha imedaiwa kuwa mwanamke huyo alifanya kitendo hicho baada ya kuona mawasiliano ya balozi na mke wake .Ingawa balozi alimdanganya kwanza kuwa hana mke.Kwa mujibu wa taarifa hizo ,mke wa balozi ambaye pia anaishi Ulaya ni mtanzania ,mwanasheria na ni mfanyakaz wa shirika la umoja wa mataifa.Kwa upande mwingine kifo cha balozi kimeleta simanzi na huzuni kwa kuwa amekufa kwa utata.
 
sasa utata unatokea wapi hapo?
hizo ni stress tu.

lakini pia jambo muhimu la kujifunza ni kwa wateule wa nfasi za juu lazima wawe na maadili yasiyotiliwa shaka.
ukosefu wa maadili ni tatuzi kubwa sana kwa viongozi wetu, VITENDO VYA RUSHWA NA NGONO, NGONO, NGONO maofisini ni tatizo sana sana, Ngono ngono
 
mke wa balozi ambaye pia anaishi Ulaya ni mtanzania ,mwanasheria na ni mfanyakaz wa shirika la umoja wa mataifa ambaye pia aliwahi kuolewa na mzungu na wakaachana.

Isitoshe mke wa huyu balozi ana mtoto aliyemzaa kabla ya kuolewa na balozi,
Hizi ndoa zisikiage tu
 
Ndu Utata wa kifo unaonekana waziwazi,tumia tu common sense utajua.Kuhusu hoja ya uteuzi,
Ndio hapo wazalendo wa nchi hii tunarudi kwenye katiba mpya.Kipengere cha teuzi za mabalozi,wakuu wa mikoa ,wilaya na hata wakurugenz napendekeza zifanyike interview ili kuwapata watu bora kabisa.Lakin uteuz mwingi wa wakuu wa mikoa ,wilaya na hata mabaloz ni za kujuana tu.Wao wanaita connection.Hatupati watu sahihi kabisa.Tunapata watu waliokosa kazi sehemu nyingine kutokana na kuwa hawana uwezo.Lakin tunawapa kaz kwa kujuana.Je ,tunategemea nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…