Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Aidha kwa aibu ambayo ingefuata akaamua.........!Kama tuhuma za kubaka huko Austria ni zakweli basi serikali imeona mambo yasiwe mengi.nadhani mmenielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aidha kwa aibu ambayo ingefuata akaamua.........!Kama tuhuma za kubaka huko Austria ni zakweli basi serikali imeona mambo yasiwe mengi.nadhani mmenielewa.
You are very intelligent.
Kazi za jando kaka acha jamaa ale maisha
Huzijui Barabara za Tanzania weweBara bara ya Chalinze- Segera, is 'the most dangerous road' according to my experience. Bara bara hii ina miinuko na miteremko mikali.
Mwaka 2017 wakati nasafiri kwenda Tanga saa saba usiku, nimekwisha overtake roli nimefika nusu kumbe mbele kuna roli linakuja. Jamaa kunipiga full ndio naliona sasa. Kumbe mwanzo sikuliona kwa kuwa nilikuwa napanda kilima...
Nchi kama Tanzania nayo ina siri gani za maana?As far as wanawakilisha nchi lazima wawe na siri nyingi za Taifa letu zihusuzo uchumi, usalama na ustawi wetu.
Tatizo langu ni moja; pamoja na siri zote hizi mbona tunazidi kuwa maskini kama nchi na tegemezi? Hizo strategic information zinatumikaje?
Ingawaje kupata katiba mpya ni jambo la muhimu na lazima, lakini katiba mpya haiwezi kutatua matatizo yote ya nchi. Kila kitu katiba ni jibu, kama wasemavyo walolkole yesu ni jibu. Naona tutangaze tu, katiba ni jibu.NduUtata wa kifo unaonekana waziwazi,tumia tu common sense utajua.Kuhusu hoja ya uteuzi,
Ndio hapo wazalendo wa nchi hii tunarudi kwenye katiba mpya.Kipengere cha teuzi za mabalozi,wakuu wa mikoa ,wilaya na hata wakurugenz napendekeza zifanyike interview ili kuwapata watu bora kabisa.Lakin uteuz mwingi wa wakuu wa mikoa ,wilaya na hata mabaloz ni za kujuana tu.Wao wanaita connection.Hatupati watu sahihi kabisa.Tunapata watu waliokosa kazi sehemu nyingine kutokana na kuwa hawana uwezo.Lakin tunawapa kaz kwa kujuana.Je ,tunategemea nn?
Utampata sasa😀Aliyesambaza ile sms ya mwanzo kabisa kwenye mitandao ya kijamii ndiye anaweza kujibu haya maswali yote kwa ufasaha.
Mzee, Mabalozi 90% ni Wazee wa Kitengo!Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao.
Sasa Balozi Mushi hakuwa "mtu wa kawaida" kama ulivosemaHata mimi ambaye ni mkulima niligundua kuna utata kwenye hicho kifo. Balozi na usafiri wa Toyota Crown Athlete; wapi na wapi! Tena asafiri usiku, huku akiwa yuko peke yake!!
Au ni kwa sababu siku hizi wanateuliwa watu wa kawaida, kushika nafasi kubwa na nyeti serikalini, ndiyo tunashuhudia haya madudu?
Tangu marais waanze kustaafu sijasikia aliyekuwa anatumwa kwenye vilio, isipokuwa JMK. Kwa nini serkali isiwakilishwe na waziri, katibu mkuu au afisa ngazi ya juu wizara ya mambo ya nje? Kwa nini wanamdhalalisha mzee wa Msoga?Kikwete leo kaongoza masishi yake huko kilimanjaro
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyu aliwahi kuongoza ya Balali pia😀Kikwete leo kaongoza masishi yake huko kilimanjaro
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Haya ni kama mambo ya Majaliwa yale kufungua mlango wa ndege na kuokoa watu 24😆Tuiheshimu nature! Huwezi kuforce nature wala huwezi kuizuia nature. Mara nyingi sana wanadamu tunapenda kusikia sababu za kifo hata zisizo za kweli.
1. Walioshuhudia wamesema ajali ilikuwa mbaya na walishindwa kumuokoa mpendwa kutokana moto kuwa mkubwa. Kwa nini hatuulizi hali ya lori?
2. Walijaribu kuuzima na mchanga wakashindwa. Wakaenda kulala, asubuhi wakaja polisi. Shuhuda anasema aliumia usiku mzima akikumbuka ajali na walivyoshindwa kumuokoa mpendwa. Hawakujua alikuwa nani. Kesho yake ndipo wakasikia redioni aliyekuwa ktk ile gari ni Balozi Mushy.
3. Hao wananchi walioingiza namba ktk mfumo wa TRA ni wa wapi kama mashuhuda walienda kulala bila kujua? Pia wanasema hilo eneo ni hatari kwani hiyo ni ajali ya tatu ktk kipindi kifupi#Pumzika kwa amani Balozi Mushy. Maneno mengi yanaumiza familia na kuleta uchonganishi tuache.🙏🙏🙏
Mushi ni vijana wa JK, vijana wake aliowapika wakaiva enzi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje;Tangu marais waanze kustaafu sijasikia aliyekuwa anatumwa kwenye vilio, isipokuwa JMK. Kwa nini serkali isiwakilishwe na waziri, katibu mkuu au afisa ngazi ya juu wizara ya mambo ya nje? Kwa nini wanamdhalalisha mzee wa Msoga?
Duh. Sidhani kama hizo nchi zingewakubali wawe mabalozi. Labda kama ni wastaafu wa kitengo lakini kama bado ni active wasingekubalika.Mzee, Mabalozi 90% ni Wazee wa Kitengo!
Hii umecopy kwa lemobimbaaa mpe credit🤣🤣Mushi ni vijana wa JK, vijana wake aliowapika wakaiva enzi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje;
Mushi alikuwa kijana intelligent wa system enzi za JK na Lowassa, alipendwa sana... baadaye alikuja kuwa Msaidizi wa Karibu sana wa Waziri Mkuu Lowassa, baada ya Lowassa kukutana naye New York na kupenda akili zake, akamrudisha nyumbani
usitukumbushe lidikiteta sisi jiz la kura tena huko liliko life tena.Hata kifo cha Rais wetu kilikua na maswali ya utata sana. Viongozi waliofuatia kufa baada yake nao ni hivyo hivyo, wacha tuone mpira utasimamia wapi
So kwamba atoroke Ulaya aje kuuliwa Bongo?? Alafu ulaya wanajikuta wana empower sana wanawake makesi mengine ya kifalaa kama haya yanaumiza watuu...Huyu jamaa taarifa nilizonazo ni kweli kuwa alirudishwa home kwa kuwa pale Swiss alituhumiwa kubaka.Na kwa mujibu wa watu wa karibu na marehemu aliyemtuhumu marehemu kwamba alitaka kubakwa ni mwanamke ambaye walikuwa nae katika mahusiano.Ingawa taarifa hiyo haikuweka wazi kuwa mwanamke huyo alikuwa wa Uswis au nchi nyingine.Taarifa zinasema kuwa ,mtu huyo alifikisha taarifa kwa mamlaka za nchi hiyo ya bara la Ulaya kuhusu kutaka kubakwa na marehemu balozi.Aidha taarifa zinasema kuwa ,inawezekana' kabisa kuwa marehemu Balozi alikuwa katika mahusiano na mtu huyo lakin baada ya mahusiano kuvunjika na vurugu za hapa na pale ndio mwanamke huyo alipofikisha taarifa za kubakwa kwa mamlaka za huko Ulaya.Taarifa hizo zinadai kuwa mwanamke huyo alikuwa na ushahid wa picha na video za vitendo hivyo vya balozi.Aidha imedaiwa kuwa mwanamke huyo alifanya kitendo hicho baada ya kuona mawasiliano ya balozi na mke wake .Ingawa balozi alimdanganya kwanza kuwa hana mke.Kwa mujibu wa taarifa hizo ,mke wa balozi ambaye pia anaishi Ulaya ni mtanzania ,mwanasheria na ni mfanyakaz wa shirika la umoja wa mataifa.Kwa upande mwingine kifo cha balozi kimeleta simanzi na huzuni kwa kuwa amekufa kwa utata.
Hivi wananchi wa kijiji cha Mkata waliwezaje kumtambua Balozi Mushi kwa nguo zake kama gari iliungua hivi?Ajabu nyingine, kwa siku zote tatu hakuna aliyetafuta taarifa zozote zinazomhusu balozi(familia wala serikali).