Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao.
Kwanza nchi yetu ina siri gani nzito? Tuna maabara za siri za kufanya tafiti za bioweapons? Kina operation za siri tunaendesha kwenye nchi za wenzetu kama USA UK? kuna majasusi wa kiisraeli tumewanunua ambao wanavujisha siri za Israel? Nchi yetu ina siri gani nzito?
 
Walisema 'wasiojulikana' aliwaasisi JPM.
Ila kiuhalisia CCM ni ile ile ya kiuuaji bila kujali aliyeko juu,
kumbuka Dr Ulimboka kule Mabwepande.

Huu mtindo wa kutesa na kuua bila kuliondoa hili genge madarakani wananchi tutaendelea kulia.
Hata kiingie chama kinacho ongozwa na kanisa kutoka Rumi. Kikundi hicho kitakuwepo tu. Swali la msingi kinatumikaje? Tatizo la jpm na hicho kikundi kilikuwa kinakula vichwa vya raia hata wanao hoji elimu ya mtu. Sasa hapo swala la elimu ya mtu ni la kumla kichwa mtu?
 
umasikini wa akili na uwezo Mdogo wa kuelewa wa africa huwa kila kifo kina kuwa na mkono wa mtu , tena vijijini ndui mbaya Maana wnaa Singu is wazee. Maswali yote yana majibu , Gari kubakiza plate number ajabu ni nini ikiungua. Una uhakika gani familia haikuwa imetoa taarifa kabla ya Serikali kusema kitu . Ajali zote lazima ziwe za upande mmoja na mwisho Maswali haya unajiuliza Una kosa majibu Una jifanya critical thinker
Wenye kuamini kila kifo ni mipango ya Mungu na wale wenye kuhoji kila kifo ili wajue kisababishi ni nani critical thinkers na nani ni wapo wapo tu ??!
 
Kwanza nchi yetu ina siri gani nzito? Tuna maabara za siri za kufanya tafiti za bioweapons? Kina operation za siri tunaendesha kwenye nchi za wenzetu kama USA UK? kuna majasusi wa kiisraeli tumewanunua ambao wanavujisha siri za Israel? Nchi yetu ina siri gani nzito?
Kila ndege huruka kwa mbawa zake !
 
Siri za nchi zinamsaidia nini balozi ambaye kazi yake ni diplomat na protokali zake zinajulikana? Kama siri za nchi zinavuja mpaka kwa balozi basi hizo siyo siri tena zimeshadukuliwa na wengine.
Kimsingi huwezi kuwa balozi kama hujapelekwa kwenye kozi za usalama wa taifa na humo ndani Kuna ngazi halafu jamaa mbona hata kawaida tu unaona alikuwa kipenyo
 
huo mwili upimwe DNA kama ni kwel barozi, hawa wahuni isije ilawa wamecheza mchezo kama wa yule aliyefichwa ulaya, wanachukua mwili wowote uliotelekezwa mochwari wanauweka kwenye gari wanalichoma moto,

wacha kucheza na maslai ya wanaCCM
 
KUTOKA KWA MALISA GJ

Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;

1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?

2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?

3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?

4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?

5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?

6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?

7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?

Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
JPM hayupo ile viwavi waliokuwa kazini wakati ule wako huru zaidi kufanya watakavyo chini ya kilaza mmoja asiyejielewa.
Kuweni makini mangi ohooo! ukiwa na moto weka kiuno 24/7 ahyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao.
Kumbuka 95% ya mabalozi duniani ni manyoka...

e.g Balozi Mahiga(marehemu) Balozi adad Rajab, Balozi Sirro, Balozi Mangu, Balozi Shimbo etc
 
Bara bara ya Chalinze- Segera, is 'the most dangerous road' according to my experience. Bara bara hii ina miinuko na miteremko mikali.
Mwaka 2017 wakati nasafiri kwenda Tanga saa saba usiku, nimekwisha overtake roli nimefika nusu kumbe mbele kuna roli linakuja. Jamaa kunipiga full ndio naliona sasa. Kumbe mwanzo sikuliona kwa kuwa nilikuwa napanda kilima...
Sas hilo tatzo ni lako au tatzo la BARABARA?
 
Back
Top Bottom