Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Yale yale ya Imran Kombe,
Huyu balozi kama kweli alikuwa na kesi ya ubakaji huko ughaibuni ndio maana akakimbilia nyumbani,aliisha kuwa "compromised"sasa inawezekana waliotaka ku "mrecruit"waliona Bora wamuondoe,au Kuna Siri alivujisha,Idara ikaona huyu hafai Tena,Bora atulizwe milele.
Kwa idara yetu,ambayo ipo bize kuiba kura,na kuilinda ccm,nchi haipo salama,Nina hakika,wanadiplimasia wetu wengi,wapo compromised sana,wanavujisha Siri za nchi,kwa kujua ama kutokujua!!
Sasa sijuhi ni kwa kiwango gani,nchi yetu na systems zipo penetrated.
Walisema 'wasiojulikana' aliwaasisi JPM.
Ila kiuhalisia CCM ni ile ile ya kiuuaji bila kujali aliyeko juu,
kumbuka Dr Ulimboka kule Mabwepande.

Huu mtindo wa kutesa na kuua bila kuliondoa hili genge madarakani wananchi tutaendelea kulia.
 
As far as wanawakilisha nchi lazima wawe na siri nyingi za Taifa letu zihusuzo uchumi, usalama na ustawi wetu.

Tatizo langu ni moja; pamoja na siri zote hizi mbona tunazidi kuwa maskini kama nchi na tegemezi? Hizo strategic information zinatumikaje?

Siri za nchi zinamsaidia nini balozi ambaye kazi yake ni diplomat na protokali zake zinajulikana? Kama siri za nchi zinavuja mpaka kwa balozi basi hizo siyo siri tena zimeshadukuliwa na wengine.
 
Hata mimi ambaye ni mkulima niligundua kuna utata kwenye hicho kifo. Balozi na usafiri wa Toyota Crown Athlete; wapi na wapi! Tena asafiri usiku, huku akiwa yuko peke yake!!

Au ni kwa sababu siku hizi wanateuliwa watu wa kawaida, kushika nafasi kubwa na nyeti serikalini, ndiyo tunashuhudia haya madudu?
 
Siri za nchi zinamsaidia nini balozi ambaye kazi yake ni diplomat na protokali zake zinajulikana? Kama siri za nchi zinavuja mpaka kwa balozi basi hizo siyo siri tena zimeshadukuliwa na wengine.
Siri za nchi Tanzania kama ni navo iuona hi nchi yangu, ina siri gani za kutisha mpaka mtu achomwe moto, siri za nchi hi ni public secrets, zina julikana na kila mtu, ni CCM itawala mpaka itakapo choka, kuhakikisha ba kuua vyama vya upinzani viwe compromised kwa kununua viongozi wao, raia wspewe elimu duni wasiwe threat kwa siasa za CCM, Mama atawale mihula miwili baada ya hapo mtoto wa kigogo moja wa chama atawale, hapo kuna siri ya kuua mtu wakati na mimi huku Ikwiriri na zifahamu

Huyu jama alikufa kwa ajali au personal grudges na watu wake wanao juana au laana za Mungu
 
Hata kifo cha Rais wetu kilikua na maswali ya utata sana. Viongozi waliofuatia kufa baada yake nao ni hivyo hivyo, wacha tuone mpira utasimamia wapi
Hivi wakifa viongozi hakunaga kesi za mirathi? Maana kwenye tovuti ya mahakama huoni kesi ya mirathi kumhusu Magu au Mkapa. Au wao hakimu anawafuata nyumbani na kumpa usimamizi wa mirathi mtu aliyeandaliwa?
 
haya maisha ya duniani ni mafupi saana ila watu tunajisahau sana haswa tunapo pata utajiri na vyeo.
yatupasa kila wakati tutende mema na tuwatendee binaadamu wenzetu mema, tuache roho mbaya na kuharibiana.
 
KUTOKA KWA MALISA GJ

Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;

1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?

2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?

3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?

4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?

5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?

6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?

7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?

Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
The rotten system governed by rotten political party
 
Duuu! Kiukweli hii ajali imeleta maswali mengi sanaa...Na hivi kulikuwa na rumours kumhusu Marehemu ndo inaleta ukakasi moja kwa moja.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Aliyesambaza ile sms ya mwanzo kabisa kwenye mitandao ya kijamii ndiye anaweza kujibu haya maswali yote kwa ufasaha.

Att
AJALI YA TOYOTA CROWN T.175DMF IMETOKEA MKATA DEREVA NI MWANAMKE AMEFARIKI PAPO HAPO, UMILIKI WA GARI NI CELESTINE JOSEPH MUSHY
SAMBAZA KWENYE MAGROUP KADRI UWEZAVYO ILI NDUGU WAPATE TAARIFA
TOKA 0652003003
 
KUTOKA KWA MALISA GJ

Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;

1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?

2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?

3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?

4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?

5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?

6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?

7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?

Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
Kwa mujibu wa DC iliwachukua saa 72 kujua mwili ni wa balozi
 
Balozi aligongana na lori lenye namba gani za usajili?

Na mmiliki wake ni nani?

Je kuna picha za hilo lori baada ya ajali? na dereva wa lori anaitwa nani ?

na dereva alitibiwa hospital ipi baada ya ajali na kwa sasa yuko wapi au naye kafa?

Wakikujibu naomba uni tag mkuu.
 
Back
Top Bottom