Restarting
Member
- Jan 28, 2020
- 80
- 106
Acha ujinga wewe,Kwa sababu alikuwepo mtu mzalendo kwel pasipo hata kutilia shaka uzalendo wak lakin sasa mmmmh.....tunapgwa mchana kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe,Kwa sababu alikuwepo mtu mzalendo kwel pasipo hata kutilia shaka uzalendo wak lakin sasa mmmmh.....tunapgwa mchana kweupe
Lazima nchi iendelee kwa misingi ile ile ya JPM, tuende mberee... mama kasema yeye na JPM sawa, anapita mule mule... Kazi iendereeKwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya JK?
Mjinga ba.ba akoAcha ujinga wewe,
na kweli alijitahidi. tukaingia underground sasa tuko katika kuibuka upya. na nikwambie hii mifumo ya uendeshaji nchi isipobadilika kwa kuleta katiba mpya mafisadi hawataisha na wanakotokea ni chama dola, wale mafisadi papa. vinginevyo hata umlete dikteta hitla hatawaweza mafisadi wa kimfumo. lingine ombea sana na mimi niwe fisadi.Hilo la ukoloni unazungumza ww ,yule alikuwa akiwanyoosha mafisad km ww