MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa.

Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi.

Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia

#matege
Code-SSH-2025
 
Na nukuu alichosema Mwendazake mnamo tarehe 8th June 2019, alipokua akiongea mbele ya Baraza la Biashara lililojumuisha wafanyabiashara 139 nchini kutoka katika Wilaya tofauti tofauti.

Alisema;

"Kwenye mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo kulikuwa na vipengele vya ovyo kabisa”.

Akasema;

"Yaani kwenye eneo lote kuanzia Tanga hadi Mtwara kusijengwe bandari yoyote. Bandari ya Kilwa tusiiendeleze, Bandari ya Mtwara ambayo itawezesha mikoa ya kusini kupokea mafuta badala yake Dar es Salaam kisha yarudi huko, hatutakiwi kuiendeleza, Barabara kutoka Mtwara hadi Bamba Bay ambayo itatuwezesha kusafirisha mizigo hadi Msumbiji tusiijenge".

Alisema sharti jingine ni;

"Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutotakiwa kwenda kukusanya ushuru wala kodi katika eneo lile na walitaka wapewe hakikisho la miaka 33.

Pia alisema;

"Wawekezaji hao wangeweza kumiliki ardhi kwa hati ya miaka 99 pamoja na kutoruhusiwa kuulizwa nani anamiliki eneo hilo.

Magufuli alisema sharti lingine ni;

"Gharama zitakazotumiwa na mwekezaji huyo katika ujenzi wa bandari hiyo zinatakiwa zirejeshwe".

● Mataga wakakimbizana kwenye mitandao ya kijamii kumtukana matusi na kumdhalilisha Rais Kikwete kwa kukubali huo mkataba wenye masharti ya kiwendawazimu mnamo mwaka 2013.

Swali,

Je, ukweli ni upi kuhusu mkataba wa hio bandari??? Na nani alikua sahihi Magufuli au Kikwete???
 
Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa.

Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi.

Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia

#matege
Code-SSH-2025
wewe ni kama nani huku MATAGA!!!maana tuna vyeo kabisa,hatuwezi semewa na mbugila simbilisi mmoja hata hajui ethics za hiyo chama.
 
wewe ni kama nani huku MATAGA!!!maana tuna vyeo kabisa,hatuwezi semewa na mbugila simbilisi mmoja hata hajui ethics za hiyo chama.
Mkuu,sisi tulikuwa idara ya propaganda, tunapangiwa mtu was kumtukana, hoja ya kushambulia, jioni tunatuma screenshot tunapata posho. Tuliambiwa mkuu wa tano na nne hawaelewani,tuukwamishe na tujaze uongo,uzandiki mpaka jamii ikubali
 
Mkuu,sisi tulikuwa idara ya propaganda, tunapangiwa mtu was kumtukana, hoja ya kushambulia, jioni tunatuma screenshot tunapata posho.
mkuu wenu alikuwa nani ambaye amesarrender mpaka mnatakiwa mkatume screenshot za hivi awalipe pia!!!
 
Baada ya Chato ni zamu ya Bagamoyo ya Msoga sasa.... Pathetic!!.
 
Back
Top Bottom