Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Uzuri upi bongo ndg yangu?
Kenya ni wapambanaji sana huwezi kulinganisha na wabongo.
Kenya wako mbali sana wakuu.

Pili huduma za jamii Kenya zipo juu na hiki ni moja ya kigezo...elimu, hospitali, miundombinu nk

Hata makusanyo yao ya kodi wametupita zaidi ya mara mbili.
Hebu fuatilia uone
Umeshawahi kufika sehemu yoyote ya Kenya? Au ulishawahi kaa Nairobi hata wiki ukapita mitaani?
 
Yaana Zambia wana maisha bora kuliko Rwanda,Uganda na Tanzania?sidhani
Zambia sio matajiri ila wanajijali. Hata serikali yao inawajali. Wanaishi maisha yao simple na wako wachache. Raia wa Zambia kuishi bongo hataweza. Kule kwao hawana makodi ya ajabu. Kuna amani kuliko TZ
 
Wewe ni chawa wa Samia hebu mwambie aboreshe hali za Watanzania basi
 
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.

Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa wanafanya kazi kwa bidii ili kuiendeleza, na bidii hii inaakisi vyema uchumi. Hii ndiyo sababu mataifa mengi yaliyofanikiwa zaidi ulimwenguni kwa kawaida hujitahidi sana kulinda njia yao ya maisha.

Kwa bahati mbaya, Afrika imekuwa katika mchanganyiko huu. Katika historia changa ya bara hili, Waafrika wamelazimika kuvumilia baadhi ya hali mbaya zaidi za maisha duniani. Hata hivyo, katika siku za hivi majuzi bara hilo limekuwa na ufahamu wa njia bora ya maisha, na mataifa mengi katika bara hilo yamekuwa yakifanya kazi bila kuchoka ili kufikia wakati ujao unaotamanika.

View attachment 2480598Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Business Insider Africa
Utopolo mtupu. Hata Kenya na Zambia wamo bila Tanzania, Botswana, Namibia, Mauritius, Ushelisheli, Uganda kweli?
 
Huwa wanasema kwa kimombo, No Research, no right to speak! Tupe takwimu zinazoeleweka, kutoka kwa tafiti zako hizo. Ambazo zitakuwa zimekidhi vigezo vyote vya kuitwa tafiti kamili za kisayansi. Vitu kama hivi havitakagi 'mafeeeling'. Chuki zako dhidi ya Kenya hazitaipaisha nchi yako, wala hazitaipunguzia Kenya.
Kenya kuna maisha ya hovyo mno. Raia wengi wanaishi kwa shida hawawezi kumiliki ardhi. Ukiwa unaelekea Nairobi huko njiani nyumba kibao za mabati. Utafiti wa kazi gani wakati tunajionea LIVE kwa macho? Acha kuwa mtumwa wa maneno ya kizungu "no research no right to speak"
 
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.

Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa wanafanya kazi kwa bidii ili kuiendeleza, na bidii hii inaakisi vyema uchumi. Hii ndiyo sababu mataifa mengi yaliyofanikiwa zaidi ulimwenguni kwa kawaida hujitahidi sana kulinda njia yao ya maisha.

Kwa bahati mbaya, Afrika imekuwa katika mchanganyiko huu. Katika historia changa ya bara hili, Waafrika wamelazimika kuvumilia baadhi ya hali mbaya zaidi za maisha duniani. Hata hivyo, katika siku za hivi majuzi bara hilo limekuwa na ufahamu wa njia bora ya maisha, na mataifa mengi katika bara hilo yamekuwa yakifanya kazi bila kuchoka ili kufikia wakati ujao unaotamanika.

View attachment 2480598Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Business Insider Africa
Hiyo list ni toilet paper ya kuchambia chooni ...ujinga mtupu ..hapo kuna nchi ni kichekesho
 
Laana ya kafara la kukimbiza moto bado inaishi
Wacheni kumsingizia mzalendo nyerere tanzania tuna laana moja tu iliyo tufikisha hapa ni viongozi watatu waisiharamu walio kuwa marais ...waisiharamu ndiyo wameua nuru ya tanzania huo ndiyo ukweli hata kuporomoka kwa sh yetu ni marais waisiharamu wameusika kikamilifu
 
Tanzania isipowauzia chakula mtakula nini!?..tunawalisha hata Kama mnanunua,bidhaa gani za viwandani tunazonunua toka Kenya ambazo sisi hatuna!?
Hauko serious hata kidogo. Hii hapa ni meli ambayo ilifika bandarini Mombasa na mahindi tani 10,000 kutoka Brazil.
Ship with 10,000 tonnes of maize imports docks in Mombasa today
Tangia mwezi wa Novemba kumekuwepo na 'duty free window', ya miezi sita, kutoka kwa GOK. Ambapo wafanyabiashara wanakubaliwa kuagiza mahindi kutoka nchi kama Mexico, Brazil, Mozambique na S.A.
Ikifikia Aprili meli 37 za mahindi tu zitakuwa zimeshusha tani milioni kumi bandarini Mombasa na hakuna hata tani moja itakuwa imetoka Tz.

Kwa taarifa yako kila mwaka Uganda huwa wanaiuzia Kenya mahindi mengi zaidi(X2) ya yale ambayo huwa yanaagizwa kutoka Tanzania.
 
Kenya kuna maisha ya hovyo mno. Raia wengi wanaishi kwa shida hawawezi kumiliki ardhi. Ukiwa unaelekea Nairobi huko njiani nyumba kibao za mabati. Utafiti wa kazi gani wakati tunajionea LIVE kwa macho? Acha kuwa mtumwa wa maneno ya kizungu "no research no right to speak"
Sasa ndio mna afueni zaidi ya Kenya na wakenya? 'Middle Class' ya Kenya ndio kubwa zaidi ukanda huu wote wa A.M na ya kati. Wakenya kwa ujumla wana 'purchasing power' na 'disposable income' kubwa zaidi, takwimu zipo.

Unadhani hatujafika vijijini Tz? Ambapo wananchi wenzako wanaishi kwenye nyumba za tope, hata sio bati. Bila miundombinu yeyote ile ya kueleweka, umeme wala huduma zingine za kiserikali. Hata vyoo tu ni shida kwao, kazi ni kuchimba tu dawa kila siku ya wiki na mlo mmoja ambao huwa wanakula kwa siku ni chai ya rangi na mihogo ya sumu. Alafu upo hapa ukijimwambafy na kuimba sisiemu mbere kwa mbere, bure kabisa.
 
tunawashauri kwasababu tunawaonea huruma, na chakula chenu ni ugali tuu hakuna vyakula vingine, tukifung akuwauzia mahindi mtakufa nyie.
Endelea kujiliwaza ukiwa hapo kwenye vijiwe vyenu vya kahawa. Mwalimu Nyerere alifunga boda ya Ke-Tz kwa miaka SABA. Boda ilipofunguliwa akapata wakenya ndio wamenawiri zaidi. Akaanza kuwashauri mkajionee London ya A.M hapa hapa jijini Nairobi. Mkawa waumini wakubwa wa bidhaa murua kutoka kwa viwanda vya Kenya na tangia siku hiyo hadi leo hii bado mnaisoma namba.
 
Sasa ndio mna afueni zaidi ya Kenya na wakenya? 'Middle Class' ya Kenya ndio kubwa zaidi ukanda huu wote wa A.M na ya kati. Wakenya kwa ujumla wana 'purchasing power' na 'disposable income' kubwa zaidi, takwimu zipo.

Unadhani hatujafika vijijini Tz? Ambapo wananchi wenzako wanaishi kwenye nyumba za tope, hata sio bati. Bila miundombinu yeyote ile ya kueleweka, umeme wala huduma zingine za kiserikali. Hata vyoo tu ni shida kwao, kazi ni kuchimba tu dawa kila siku ya wiki na mlo mmoja ambao huwa wanakula kwa siku ni chai ya rangi na mihogo ya sumu. Alafu upo hapa ukijimwambafy na kuimba sisiemu mbere kwa mbere, bure kabisa.
Naona tutabishana sana ila wananchi wa Kenya ni kama watumwa kwenye nchi yao. Mnawafanyia kazi watu wachache
 
Hauko serious hata kidogo. Hii hapa ni meli ambayo ilifika bandarini Mombasa na mahindi tani 10,000 kutoka Brazil.
Ship with 10,000 tonnes of maize imports docks in Mombasa today
Tangia mwezi wa Novemba kumekuwepo na 'duty free window', ya miezi sita, kutoka kwa GOK. Ambapo wafanyabiashara wanakubaliwa kuagiza mahindi kutoka nchi kama Mexico, Brazil, Mozambique na S.A.
Ikifikia Aprili meli 37 za mahindi tu zitakuwa zimeshusha tani milioni kumi bandarini Mombasa na hakuna hata tani moja itakuwa imetoka Tz.

Kwa taarifa yako kila mwaka Uganda huwa wanaiuzia Kenya mahindi mengi zaidi(X2) ya yale ambayo huwa yanaagizwa kutoka Tanzania.
Kama Uganda huwauzia Mara 2 ya mahindi toka tz mbona mmeagiza toka ng'ambo msiagize toka Uganda!?..Mara ngapi tukizuwia vyakula viongozi wenu huja mezani tukae tuyazingumze na Hali mbaya ya chakula hutamalaki huko Kenya!?..msimu wa mavuno huku ni April/may,nitakwambia vyenye wake ya,rwanda wanavyojaa,huwezi kuikwepa tz ukiwa mwana afrika mashariki,tz ni kapu la mlo
 
Tanzania hii watu wanajinyonga kisa madeni. Mtu anaua watoto wake kisa ugumu wa maisha. Inaweza kuwa kweli

unadhani kenya watu hawajiui!!!tena ukali wa maisha kenya ni mzito zaidi ya huku.
 
Daah mwanang umenikatisha tatamaa kinoma yan. Mana nilikuwa na mpango wa kwenda kulikita Nairobi next week koz bongo naona kiza tuu🤔🤔🤔
 
Wewe jibu hoja zote nilizosema!

Nairobi nimefika zaidi ya mara 20 I talk from walking on the streets, nimelala sana River Road mtaa wenye ofisi za Dar Express bus, nyuma Kuna mtaa una ofisi za Akamba bus. nimeona Kila kitu kwa macho yangu! Pale Latema Kuna Banda la kuvutia sigara Nairobi wanajifanya wazungu hakuna kuvuta fegi mitaani!

Huwa nikitumia Uwanja wa Jomo Kenyatta tunabook KLM kwenda ulaya wanatupandisha Kenya Airways wahudumu wa kenya wabaya wa sura! Weusiii!
Bwahhahahahahahahaha. wajaruo ndio waadumu.
 
Back
Top Bottom