Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Tanzania hii watu wanajinyonga kisa madeni. Mtu anaua watoto wake kisa ugumu wa maisha. Inaweza kuwa kweli
Habari za namna hiyo za Kenya huzijui,infact habari za ajabu Kama hizo Kenya zilianza kitambo tukajua yataishia hukohuko
 
inamankusweke naomba ufahamu wanaposema maisha bora wanachukuwa wastani wa walala hoi na wastani wa wenye maisha bora na furaha wanajulisha na kutafuta wastani.
Usijifanye hulijui hili
Na wamewaorodhesha wote au!?...maisha Bora hupimwa kwa upatikanaji wa mahitaji muhimu ya maisha,maji,afya,chakula,elimu,uchukuzi...unatembea kilomita ngapi kupata hivyo!? Vinapatkana kwa kiasi gani? Nk
 
Hizo nne za juu naweza kukubali japo SA maisha ni magumu sana kwa wasio na connection, na wengi wanaofanya maisha kihalali.... ila majengo ni mazuri kweli kweli..

Hizo nyingine za waAfrica weusi ni njaa tu kila mahala na wanaoenjoy ni viongozi wa siasa na serikali na wahuni wazee wa dili chafu... mamilioni ya raia ni njaa kali saan..
 
Nimesema wapi naichukia Kenya!!?..kwenye uchumi wa kibepari tarakimu za ukuaji uchumi haziakisi Hali halisi ya maisha ya mmoja mmoja,Kenya Kuna maisha magumu mzee,usione wake ya Wanamnyenyekea boss kazini,halijaja Bure hilo
Offcourse unaichukia sana Kenya. Ingekuwa huichukii usingekuwa unaiponda na kuitajataja Kenya tu, wakati orodha hiyo hapo ina majina ya mataifa mengine kumi ya kiafrika. Tuna deni lenu ambalo tumekataa kulipa au ndio kunaendaje? Sio kwa msururu wa povu ambalo unamwaga humu, kisa tu eti kwasababu Kenya imetajwa.
 
Wewe jibu hoja zote nilizosema!

Nairobi nimefika zaidi ya mara 20 I talk from walking on the streets, nimelala sana River Road mtaa wenye ofisi za Dar Express bus, nyuma Kuna mtaa una ofisi za Akamba bus. nimeona Kila kitu kwa macho yangu! Pale Latema Kuna Banda la kuvutia sigara Nairobi wanajifanya wazungu hakuna kuvuta fegi mitaani!

Huwa nikitumia Uwanja wa Jomo Kenyatta tunabook KLM kwenda ulaya wanatupandisha Kenya Airways wahudumu wa kenya wabaya wa sura! Weusiii!
Hoja zipi? Labda kama unamaanisha hojaless zako. Eti watu wanatembea miguu peku jijini Nairobi? Utanivunja mbavu! 😄 Tangia lini kigezo cha ubora wa maisha ya mtu ikawa ni weusi au weupe wake. Sisi ni waafrika kamili jombaa, 'black and proud!
Yaani huwa unalala River Road, Downtown Nairobi kwenye logde za bei chee? Alafu eti unategemea wachuuza ngono wasikuandame, kwenye viwanja vyao?

Hujui kwamba kuzuia uvutaji sigara hadharani huwa kuna manufaa chungu nzima kwa afya ya jamii? Hiyo sheria imekuwepo Nairobi kwa miongo karibia miwili sasa. Kama unadhani huo ni uzungu basi sina budi kusema, ashakum si matusi, kwamba wewe ni mshamba kupindukia. Tena ukikamatwa faini ni shilingi 230,000 kwa hela za madafu, tzshs.
 
Mkuu umetudanganya,hakuna wananchi wana stress ya maisha kama huko cameroon na nchi zingine za west Africa.
Cameroon kila kitu ni shida hata usafiri wa daladala hakuna,wanatumia bodaboda kama daladala kupanda mishikaki abiria wanne na polisi hana muda nao naongea hivi kwa sababu nilifika huko nikashuhudia kwa macho yangu.
 
Hoja zipi? Labda kama unamaanisha hojaless zako. Eti watu wanatembea miguu peku jijini Nairobi? Utanivunja mbavu! 😄 Tangia lini kigezo cha ubora wa maisha ya mtu ikawa ni weusi au weupe wake. Sisi ni waafrika kamili jombaa, 'black and proud!
Yaani huwa unalala River Road, Downtown Nairobi kwenye logde za bei chee? Alafu eti unategemea wachuuza ngono wasikuandame, kwenye viwanja vyao?

Hujui kwamba kuzuia uvutaji sigara hadharani huwa kuna manufaa chungu nzima kwa afya ya jamii? Hiyo sheria imekuwepo Nairobi kwa miongo karibia miwili sasa. Kama unadhani huo ni uzungu basi sina budi kusema, ashakum si matusi, kwamba wewe ni mshamba kupindukia. Tena ukikamatwa faini ni shilingi 230,000 kwa hela za madafu, tzshs.
Rudi kwenye hoja zangu zote ukabila ukame Mungiki nk.
Jibu hoja za msingi acha kuonesha ujinga wako. JF Huwa tunajibu hoja kwa hoja hatutafuti hoja dhaifu tunajibu zote za baridi na za moto!
 
Rudi kwenye hoja zangu zote ukabila ukame Mungiki nk.
Jibu hoja za msingi acha kuonesha ujinga wako. JF Huwa tunajibu hoja kwa hoja hatutafuti hoja dhaifu tunajibu zote za baridi na za moto!
Aah wapi, mimi huwa sifati mkumbo ndugu yangu. Sina huo muda wa kujibu kila hoja hadi zile za kipuuzi ambazo hazina mashiko. 'Time is money'. Nani atanilipa kwa muda huo ambao nitapoteza bure? Rudi kwenye mada ya uzi huu, tafuta tafsiri, vyanzo na link zingine za habari hizo. Chambua ndio uelewe kinachozungumziwa, alafu urudu ukiwa umejipanga upya.
 
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.

Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa wanafanya kazi kwa bidii ili kuiendeleza, na bidii hii inaakisi vyema uchumi. Hii ndiyo sababu mataifa mengi yaliyofanikiwa zaidi ulimwenguni kwa kawaida hujitahidi sana kulinda njia yao ya maisha.

Kwa bahati mbaya, Afrika imekuwa katika mchanganyiko huu. Katika historia changa ya bara hili, Waafrika wamelazimika kuvumilia baadhi ya hali mbaya zaidi za maisha duniani. Hata hivyo, katika siku za hivi majuzi bara hilo limekuwa na ufahamu wa njia bora ya maisha, na mataifa mengi katika bara hilo yamekuwa yakifanya kazi bila kuchoka ili kufikia wakati ujao unaotamanika.

View attachment 2480598Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Business Insider Africa
kama kenya na ghana nao wamo na Tanzania haipo, basi waliofanya hii ranking wanatakiwa kupimwa akili au mkojo. kuna uwezekano walivuta bange kwanza kabla ya kuweka rankings hizo.
 
kama kenya na ghana nao wamo na Tanzania haipo, basi waliofanya hii ranking wanatakiwa kupimwa akili au mkojo. kuna uwezekano walivuta bange kwanza kabla ya kuweka rankings hizo.
Sio bange walivuta shisha!
 
Offcourse unaichukia sana Kenya. Ingekuwa huichukii usingekuwa unaiponda na kuitajataja Kenya tu, wakati orodha hiyo hapo ina majina ya mataifa mengine kumi ya kiafrika. Tuna deni lenu ambalo tumekataa kulipa au ndio kunaendaje? Sio kwa msururu wa povu ambalo unamwaga humu, kisa tu eti kwasababu Kenya imetajwa.
Hizo nchi zingine sizijui,Kenya isiyojitosheleza hata kwa chakula naijua,ndiyo maana nimeshangaa,niichukie Kenya ili iweje!?
 
kama kenya na ghana nao wamo na Tanzania haipo, basi waliofanya hii ranking wanatakiwa kupimwa akili au mkojo. kuna uwezekano walivuta bange kwanza kabla ya kuweka rankings hizo.
Kenya,Ghana na Tanzania hatuachani sana,hapo ndio utaona ubatili wa hii post
 
kenya kila mwaka kuna njaa, Tanzania hakuna njaa kila mwaka, walikuwa wanapima nini? au walichukua figure za pale Nairobi tu, wakarudi kwao kupeleka ripoti.
 
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.

Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa wanafanya kazi kwa bidii ili kuiendeleza, na bidii hii inaakisi vyema uchumi. Hii ndiyo sababu mataifa mengi yaliyofanikiwa zaidi ulimwenguni kwa kawaida hujitahidi sana kulinda njia yao ya maisha.

Kwa bahati mbaya, Afrika imekuwa katika mchanganyiko huu. Katika historia changa ya bara hili, Waafrika wamelazimika kuvumilia baadhi ya hali mbaya zaidi za maisha duniani. Hata hivyo, katika siku za hivi majuzi bara hilo limekuwa na ufahamu wa njia bora ya maisha, na mataifa mengi katika bara hilo yamekuwa yakifanya kazi bila kuchoka ili kufikia wakati ujao unaotamanika.

View attachment 2480598Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Business Insider Africa
Hawa Wamisri wako wengi sana, ila hawasambai sana katika nchi za watu kama Tanzania walete mbegu zao huku kama ilivyo Raia wengine. Nasikia hawa jamaa wana uwezo mkubwa sana kiakili.
 
Hawa Wamisri wako wengi sana, ila hawasambai sana katika nchi za watu kama Tanzania walete mbegu zao huku kama ilivyo Raia wengine. Nasikia hawa jamaa wana uwezo mkubwa sana kiakili.
wamisri gani ndugu unaowaongelea? hawahawa kila Salaa? kuna chochote pale wameinnovate? ni wazungu tu wamejaa pale na viwanda, hawana technolojia, hawana chochote. washukuru Mungu wapo karibu sana na ulaya na nchi za mediterenean.
 
Hizo nchi zingine sizijui,Kenya isiyojitosheleza hata kwa chakula naijua,ndiyo maana nimeshangaa,niichukie Kenya ili iweje!?
Tembea Kenya sista, acha majungu ya kiccm na propaganda zao. Aliyekuambia Kenya yote kuna njaa ni nani? Sehemu ambazo huwa zinakumbwa na njaa ni zile kame, ambapo kunaishi wafugaji wa kuhamahama. Eneo lenyewe kame linaanzia kule Ethiopia, S.Sudan, Somalia hadi Kenya kaskazini. Media na mashirika mengine ya Kenya huwa yanawajibika ipasavyo, kwa uzalendo, wanapoyaangazia maeneo hayo. Ili usaidizi uwafikie wananchi wenzao, wakati wa kiangazi. Hatuna utamaduni kama wenu wa kufukia vichwa mchangani.

Kenya ni nchi ya pili DUNIANI kwenye uzalishaji wa chai, ya kwanza Afrika kwenye uzalishaji wa maparachichi, top 3 kwenye uzalishaji wa maziwa na kwenye makadamia pia. Hayo yote ni mazao yenye 'high returns'(faida kubwa) na ambayo yanakuzwa kwenye sehemu zenye mvua ya kutosha. Tafakari hayo.

Ikifika kwenye kilimo BIASHARA, cha umwagiliaji, hamfikii hata 10% ya mazao ya 'horticulture' kutoka Kenya ambayo huwa yanapaa kwenye ndege kila siku hadi Uropa. 'Legumes' kama french beans, mboga, matunda n.k, n.k na maua pia. Ukitaka takwimu za kudhibitisha ninayo yazungumzia nitakupa.
 
Back
Top Bottom