Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wa Uchumi wa kati tuko wapi?Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.
Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa wanafanya kazi kwa bidii ili kuiendeleza, na bidii hii inaakisi vyema uchumi. Hii ndiyo sababu mataifa mengi yaliyofanikiwa zaidi ulimwenguni kwa kawaida hujitahidi sana kulinda njia yao ya maisha.
Kwa bahati mbaya, Afrika imekuwa katika mchanganyiko huu. Katika historia changa ya bara hili, Waafrika wamelazimika kuvumilia baadhi ya hali mbaya zaidi za maisha duniani. Hata hivyo, katika siku za hivi majuzi bara hilo limekuwa na ufahamu wa njia bora ya maisha, na mataifa mengi katika bara hilo yamekuwa yakifanya kazi bila kuchoka ili kufikia wakati ujao unaotamanika.
View attachment 2480598Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha
Business Insider Africa
Wewe huitakii Nchi yako mambo mazuri?Ingetajwa Tanzania, ningehudhunika na kisikitika sana"
Dah nimeamini kwamba Kenya kwa akili za watanzania wengi ndio huwa SI unit. Tena kwenye masuala karibia yote ya kimaendeleo, kisiasa na kijamii. Kwenye comments naona wewe na wenzako wengi mlianza kwa kulitafuta jina la Kenya, kwanza, kwenye orodha hiyo. Badala ya jina la nchi yenu Tz. Proudly Kenyan. 🇰🇪Kenya?!!!! Kwa lipi?
Mm naona wabongo tunaishi vizuri kuliiko wakenya
Nitaitakia mazuri hata lini mkuu wakati viongozi wetu wao hawaitakii memaWewe huitakii Nchi yako mambo mazuri?
Wewe unaamini kweli Kenya Ina ubora wa maisha na furaha kuliko Tanzania!?
Huwa wanasema kwa kimombo, No Research, no right to speak! Tupe takwimu zinazoeleweka, kutoka kwa tafiti zako hizo. Ambazo zitakuwa zimekidhi vigezo vyote vya kuitwa tafiti kamili za kisayansi. Vitu kama hivi havitakagi 'mafeelings'. Chuki zako dhidi ya Kenya hazitaipaisha nchi yako, wala hazitaipunguzia Kenya.Kwamba Kenya Kuna maisha mazuri na furaha kuliko Tanzania!?
Utajiri na Furaha ya Maisha vitu viwili tofauti. Kifupi vigezo vya furaha kuvi Quantify ni ngumu.Ubora wa maisha wametupita sana.
Kenya kuna matajiri wengi kuliko Tanzania
Ndio huyu hapa mmoja wa sampuli ya hao unaowazungumzia, wahanga wa hadithi za vijiwe vya kahawa. Eti jijini Nairobi wakenya wanatembea miguu peku. 😄😄😄Wabongo wengi wanaijua Kenya kupitia vijiwe vya kahawa.
Utasikia Kenya kuna nini? Na mfano wanaotoa ni Kibera haha
Kenya furaha ya moyoni au machoni?
Kenya ambako kwa macho yangu naapa mbele za Mungu niliona Kisumu kundi kubwa la watoto wa shule wakiwa peku bila viatu wanaenda shule! Nairobi Ina watu wengi wanatembea peku Tz hakuna mtu Hana viatu!
Kenya Ina sera ambayo matajiri wanachukua kwa Kasi ardhi ya watu maskini kwa kuwanyonga na bei ya chini, inaitwa willing to sell and willing to buy! magorofa ya kupanga hayana hata rangi!
Kenya ambayo pale Latema Road Kuna lodge ukiingia ndani unakuta sex workers kama kumi uchague wa kulala nae ni sehemu ya package ya kulipia chumba, mi nilichagua mweupeee!!
Kenya ambao wamefisadi mkopo wa SGR ikaishia Naivasha na Sasa TZ ikimaliza ujenzi wa SGR yake Bandari ya Mombasa Itakosa mizigo ya maziwa makuu na itafungwa😃
Kenya ambayo inalemewa na madeni ya wachina karibu nchi itauzwa!!
Kenya ambao ajira hakuna vijana wanakimbia kwenda nje wengine wanakuja TZ Kufundisha mashuleni English na Wala hakuna mtz anawaza kwenda kuishi Kenya!
Kenya ambako ukabila umeshika hatamu na hakuna mjaluo ana haki ya kuongoza nchi sababu ni wakikuyu walipigana vita ya mau mau kudai uhuru!
Kenya pale Nairobi wamechanganyikiwa na maisha magumu wakisikia kiswahili Cha tz ukiulizia mtu Njia ya Ngong anakuelekeza kwingine majengo! Askari tu ndo wanakuelekeza Njia sahihi!
Kenya ambako kuna kundi la wahuni wa Mungiki Gang ni hatari sana kila raia anawaogopa! Kila wakati utasikia washalipua mahali magari ya polisi yanaenda hiyo furaha ni ya kitu gani?
Kenya ambayo unavaa suti tu Kenyatta road na Tom Mboya street Huku mfukoni una kitambaa Cha kufuta jasho tu mia moja tu huna!
Kenya ambako Nairobi usiku River Road Kuna watu wengi wanalala vibarazani upenuni mwa maduka hawana shelter!
Kenya ambako msosi tu hakuna ukame umezidi miaka kumi Mvua wanaona kwenye tv za tz chakula ni ghali kinatoka tz! Mara lawama kibao kuwa mvua zao tz wameiba maana vipimo vinaonesha mvua kubwa ila tone hakuna mvua yanyesha tz!
Kenya ambayo Al shababy wanailipua wanavyotaka na niliona Bisil ni mji wa wasomali watupu. Raia hawana amani Al shababy wanaua Wanavyuo! Kila mtu ana hofu!
Kenya ambayo nzige locust wanaishambulia Kila siku wakifika mpaka wa Tanzania pale Taveta wanageuza na kurudi Kenya! Wakenya hawaelewi kwanini wanafanya utafiti tz Kuna nini wadudu waharibifu wanapaogopa!
Kenya ambayo magorofa ya Nairobi mengi ni ya wasomali!
Furaha yao yatokana na nini?
Daah huwa siwazingatii hao vilema wa akili.Ndio huyu hapa mmoja wa sampuli ya hao unaiwazungumzia, wahanga wa hadithi za vijiwe vya kahawa. Eti jijini Nairobi wakenya wanatembea miguu peku. 😄😄😄
Tunasubiri uwanja waliotuahidiKiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.
Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa wanafanya kazi kwa bidii ili kuiendeleza, na bidii hii inaakisi vyema uchumi. Hii ndiyo sababu mataifa mengi yaliyofanikiwa zaidi ulimwenguni kwa kawaida hujitahidi sana kulinda njia yao ya maisha.
Kwa bahati mbaya, Afrika imekuwa katika mchanganyiko huu. Katika historia changa ya bara hili, Waafrika wamelazimika kuvumilia baadhi ya hali mbaya zaidi za maisha duniani. Hata hivyo, katika siku za hivi majuzi bara hilo limekuwa na ufahamu wa njia bora ya maisha, na mataifa mengi katika bara hilo yamekuwa yakifanya kazi bila kuchoka ili kufikia wakati ujao unaotamanika.
View attachment 2480598Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha
Business Insider Africa
Mwaka jana walikimbiza moshi moto unaelekea kuzimaLaana ya kafara la kukimbiza moto bado inaishi
Yep, katiba mpya ya Kenya 2010 imekuwa ni baraka isiyo na kifani, kwa wakenya wa matabaka yote. Ugatuzi umebadilisha na unazidi kubadilisha kabisa, kwa kasi kubwa sana, maisha ya wakenya.Unamaanisha katiba mpya au mimi nimekosea??
Nimesema wapi naichukia Kenya!!?..kwenye uchumi wa kibepari tarakimu za ukuaji uchumi haziakisi Hali halisi ya maisha ya mmoja mmoja,Kenya Kuna maisha magumu mzee,usione wake ya Wanamnyenyekea boss kazini,halijaja Bure hiloHuwa wanasema kwa kimombo, No Research, no right to speak! Tupe takwimu zinazoeleweka, kutoka kwa tafiti zako hizo. Ambazo zitakuwa zimekidhi vigezo vyote vya kuitwa tafiti kamili za kisayansi. Vitu kama hivi havitakagi 'mafeeeling'. Chuki zako dhidi ya Kenya hazitaipaisha nchi yako, wala hazitaipunguzia Kenya.
Kenya mtandao wa barabara ya lami hovyo,nimetoka kilifi,Mombasa mpaka Nairobi,hakuna Cha ajabu,njaa njaa,kwa GDP na budget wanatuzidi,lakini wangapi wanaguswa na Hilo!!?..china Wana uchumi mkubwa kuliko uingereza na ujerumani,wapi Kuna maisha mazuri na furaha!?Umewahi kufika kenya ? ile hamuikuti hata mfanyeje !
Ndio huyu hapa mmoja wa sampuli ya hao unaiwazungumzia, wahanga wa hadithi za vijiwe vya kahawa. Eti jijini Nairobi wakenya wanatembea miguu peku. 😄😄😄