Mataifa 20 sasa yatia saini kuilinda bahari Nyekundu dhidi ya magaidi, Iran inazidi kutengwa

Magaidi 20,000 wameuawa Gaza, hii imesemwa na waziri wa afya huko Palestina.

Utakapokua na muda ukaandika huo uzi usisahau kunitag
Ingawaje jf yasasa imekua ya hovyo sanaaa 😟😟😟
 
Ongezea nyama MKUU
Jana kuna dogo kauwa wanafunzi wa chuo kikuu huko Czech na majeruhi
Ila walianza kushuumu waislam na kuandika kwa kukurupuka
Imebainika ni dogo wa huko huko na alimuuwa baba yake kwanza kijijii ndio akaenda na kuwauwa wanafunzi wenzie na yeye kujiua
Ila walikurupuka kama kawaida yao
 
ujinga ndo adui wa mwafrika

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Utu tu taifa 20 tutaaibika tu.Urusi kapigana na tutaifa zaidi ya 32,na wote wamepigika.

Usije niuliza Yemen ana Nini Cha maana,jiulize pia Hamas Wana Nini mwezi wa pili huu taifa lenye vikorokoro vyote vya kupigania wanapigika.
mnapenda jifurahisha , lin uliona kwenye vita unapewa taarifa ? kuwa pisha hapo nalipua , hiyo sio vita ni operation

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
anasahau jins Urusi alivyojitetea siku ile bomu limetua bahati mbaya ndani ya Poland

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Utu tu taifa 20 tutaaibika tu.Urusi kapigana na tutaifa zaidi ya 32,na wote wamepigika.

Usije niuliza Yemen ana Nini Cha maana,jiulize pia Hamas Wana Nini mwezi wa pili huu taifa lenye vikorokoro vyote vya kupigania wanapigika.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 MOSSAD, shirika la kijasusi namba moja duniani. Mateka wamepotea,handaki zikajazwa maji ya chumvi,HAMAS wakakiona cha moto,wanajeshi wa Israel wanachanja mbuga Gaza, teh teh teh teh.

Watu waache wenye mambo yao wajifanyie kwa uhuru wanajuana wenyewe.
 
Kwani kuwait ilikua mwanachama wa NATO kijana[emoji3][emoji1787][emoji3]
Mbona wakat anapelekewa moto na Iraq kina us na shost zake walipelekana kumsaidia
Huna hoja hapo
ipo siku utaelewa
 
anasahau jins Urusi alivyojitetea siku ile bomu limetua bahati mbaya ndani ya Poland

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Anajitoa ufahamu 😄😄....tena bomu lenyewe lilikuwa linatoka Ukraine.

Au kama vipi Mrusi aende U.S.A kudai jimbo alilouza la Alaska si nalo lilikuwa lake...
 
Kwani iyo ni bahari ya Yemen? Au n international
 
Anajitoa ufahamu [emoji1][emoji1]....tena bomu lenyewe lilikuwa linatoka Ukraine.

Au kama vipi Mrusi aende U.S.A kudai jimbo alilouza la Alaska si nalo lilikuwa lake...
Russia kidume,, amuogepe kibonde alie kimbizwa na wataliban na wasomali alivyo muoga amna shuhuli ana enda peke ake lazima aombe msaada
 
Super power anategemea watu wamsaidie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mataifa zaidi ya 20 na baba yao NATO walikimbizwa Afghanistan kama mbuzi. Usicheze na watu wanaopigania haki yao kwa moyo mmoja, hapo dhalimu ni lazima atafute upenyo achomokee mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…