Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

Walitishia kuchukua hatua za kijeshi.
Kasome vizuri kiongozi.
Nikasome wapi ? Wewe hizi habari unazipatia wapi ?

Nacho fahamu kilicho tangazwa baada ya Pelosi kuondoka ni mazoezi ya kijeshi basi.
 
Israel ipi? hii inayotegemea silaha za msaada kwa huruma ya US?
Hii inayolindwa na US na mataifa ya Europe? hii ambayo ikipigwa mkwala kidogo tu,wazungu wanakimbizana kwenda kuilinda?
Swali najiuliza kwann wazungu wanailinda ISRAEL? Kwani ISRAEL inawapa nini wazungu?????
Kama JAWABU unalo hata wewe ungekimbia kuilinda ISRAEL kwa kile inachokupatia.
 
Swali najiuliza kwann wazungu wanailinda ISRAEL? Kwani ISRAEL inawapa nini wazungu?????
Kama JAWABU unalo hata wewe ungekimbia kuilinda ISRAEL kwa kile inachokupatia.
Wazungu hawawataki wayahudi kwenye nchi zao,ndio maana wakawatafutia eneo huko Middle East baada ya kukataliwa Uganda,

Yahudi haaminiki,wanawalinda coz wanajua watakimbilia Europe na America,wanawalinda ili wakae huko huko tu.
 
Nikasome wapi ? Wewe hizi habari unazipatia wapi ?

Nacho fahamu kilicho tangazwa baada ya Pelosi kuondoka ni mazoezi ya kijeshi basi.
China ilitoa vitisho, siku hio ilikua dunia nzima wakitizama ndege ya Pelosi kwenye flightradar inavyokwenda, kitu kilichopelekea hadi hio App ya flightradar ika crash.

China walisema watachukua hatua na walitoa onyo, kwa mujibu wa flightradar walisema ndio ndege ambayo ilikuwa tracked na watu wengi duniani katika muda wote.


Sasa kama China haikutoa vitisho kwanini ni ndege ambayo ilikuwa tracked zaidi?
 
Una badilika badilika kama kinyonga.
 
Nikukumbushe tuu viwanda vikubwa china hutumia technology ya mjapan yaan kuufanyia mtambo service hadi mjapan aje. Hapo utamshindana vipi na mjapan.....
 
Wazungu hawawataki wayahudi kwenye nchi zao,ndio maana wakawatafutia eneo huko Middle East baada ya kukataliwa Uganda,

Yahudi haaminiki,wanawalinda coz wanajua watakimbilia Europe na America,wanawalinda ili wakae huko huko tu.
Jawabu nadhan linaelekea kwenye jawabu kuu YAHUDI kuna mifumo ya kitechnojia ameshika vizuri ulimwenguni si bure lazima mzungu amlinde hata kama ni wewe ungekuwa tegemezi kwa myahudi ungemlinda tuu no way out usipo mlinda anakumwagia ugali na mboga zako.
 
Taifa linalojielewa huwezi shambulia ndege ya kiongozi wa muhimili wa taifa lengine pasipo kujali ni kubwa ama dogo.

Wewe ungekuwa Xi ungetoa order ndege ishambuliwe ?
jambaz atumie ambulance hlf atake asilengwe kisa yupo kweny ambulance
 
Swali najiuliza kwann wazungu wanailinda ISRAEL? Kwani ISRAEL inawapa nini wazungu?????
Kama JAWABU unalo hata wewe ungekimbia kuilinda ISRAEL kwa kile inachokupatia.
kuna maswali hupasi kuuliza , waarab wakorofi na sio wastaraab
 
Una badilika badilika kama kinyonga.
Nikuelezee vyema.

Ndege ya Pelosi ndio iliongoza duniani kwa wakati wote kufuatiliwa na watu ilipokuwa inakwenda Taiwan, watu zaidi ya 2.4 million duniani walikua wakifuatilia kwenye platforms na Apps za ku track ndege kama flightradar n.k

Kutokana na watu kuwa wengi servers za flightradar zili crash na mimi nilikua mmoja wapo nikifuatilia movement za hio ndege ikiingia anga la Taiwan.

Kila mmoja wetu tukijua leo China itafanya kitu. Hakuna walichofanya. Ilikua mikwara.

Ndege ilikuwa tracked na watu wengi zaidi tokana na onyo la China dhidi ya Pelosi kuingia Taiwan. China isingetoa onyo hakuna mtu angehangaika kufuatilia.
 
Halafu mkuu bana unaleta vichekesho😂😂😂😂😂.
Unazungumzia masuala ya vyoo tena hapa!?
Mimi nazungumzia critical infrastructures kama paved roads,cable stayed bridges,railway system,skyscrapers vyote hivyo Japan hampati China.
Katika hizo sekta China kampita mbali sana Japan.
Ukibisha tulinganishe kimoja baada ya kingine.
 
China kutoa vitisho ni kawaida mkuu.
Ila kutokushambulia haimaanishi kuwa haina nguvu.
Mbona mataifa mengi yalisimama na kumtishia aondoke South China sea na aachie visiwa vya Ufilipino alivyovinyakua na alikataa!??
USA ali deploy hadi aircraft carriers kwa ubishi China aka deploy Dongfeng ballistic missiles.
Baada ya kudeploy USA aliondoa aircraft carries zote pale South china.
Yani shida yenu mnataka watu wa react mnavyotaka ninyi.
Mataifa kutoa mikwara ni jambo la kawaida,ila itabaki pale pale China ni strongest nation in millitary wise pale Asia.
 
Japan unawajua?
Historia ya Japan nimeisoma na nafahamu Japan ni taifa ambalo lilikua na nguvu sana kijeshi.
Nazungumzia sasa hivi sizungumzii zamani 1948 kwenda chini.
Japan ya sasa hivi haiipati China kwa viwango vya kijeshi MSILETE STORY ZA ZILIPENDWA.
Nenda katizame China advancement alizofanya halafu uone hilo jeshi la Japan kama linaingia hata robo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…