Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Nikasome wapi ? Wewe hizi habari unazipatia wapi ?Walitishia kuchukua hatua za kijeshi.
Kasome vizuri kiongozi.
Nacho fahamu kilicho tangazwa baada ya Pelosi kuondoka ni mazoezi ya kijeshi basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikasome wapi ? Wewe hizi habari unazipatia wapi ?Walitishia kuchukua hatua za kijeshi.
Kasome vizuri kiongozi.
Unahisi unayefuatilia ni wewe pekee hili tatizoFuatilieni vitu.
Hicho ndicho nitakachosema.
Inawezekana ukawa unafuatilia za upande mmoja tu.Unahisi unayefuatilia ni wewe pekee hili tatizo
Hapana shaka hii ni CONGO DRBila kutaja hii nchi, post yako ni batili View attachment 3083684
Swali najiuliza kwann wazungu wanailinda ISRAEL? Kwani ISRAEL inawapa nini wazungu?????Israel ipi? hii inayotegemea silaha za msaada kwa huruma ya US?
Hii inayolindwa na US na mataifa ya Europe? hii ambayo ikipigwa mkwala kidogo tu,wazungu wanakimbizana kwenda kuilinda?
Wazungu hawawataki wayahudi kwenye nchi zao,ndio maana wakawatafutia eneo huko Middle East baada ya kukataliwa Uganda,Swali najiuliza kwann wazungu wanailinda ISRAEL? Kwani ISRAEL inawapa nini wazungu?????
Kama JAWABU unalo hata wewe ungekimbia kuilinda ISRAEL kwa kile inachokupatia.
China ilitoa vitisho, siku hio ilikua dunia nzima wakitizama ndege ya Pelosi kwenye flightradar inavyokwenda, kitu kilichopelekea hadi hio App ya flightradar ika crash.Nikasome wapi ? Wewe hizi habari unazipatia wapi ?
Nacho fahamu kilicho tangazwa baada ya Pelosi kuondoka ni mazoezi ya kijeshi basi.
Una badilika badilika kama kinyonga.China ilitoa vitisho, siku hio ilikua dunia nzima wakitizama ndege ya Pelosi kwenye flightradar inavyokwenda, kitu kilichopelekea hadi hio App ya flightradar ika crash.
China walisema watachukua hatua na walitoa onyo, kwa mujibu wa flightradar walisema ndio ndege ambayo ilikuwa tracked na watu wengi duniani katika muda wote.
Sasa kama China haikutoa vitisho kwanini ni ndege ambayo ilikuwa tracked zaidi?
Nikukumbushe tuu viwanda vikubwa china hutumia technology ya mjapan yaan kuufanyia mtambo service hadi mjapan aje. Hapo utamshindana vipi na mjapan.....Hapo kwa maendeleo ya miji Japan hamkuti China.
China ni nchi yenye most paved tarmac roads in the world.
Ukiachana na hapo nenda upande wa madaraja,miundombinu ya reli,usafiri wa anga kote huko Japan hamkuti China.
Mwaka huu China ameunda na kufanyia majaribio bullet train yenye uwezo wa kutoka Dar hadi Mwanza kwa lisaa limoja ikitumia njia ya Maglev.
China ina skyscrapers nyingi kuliko Japan.
Hivi Japan ameanza kuunda ndege zake za abiria mkuu!??
Jawabu nadhan linaelekea kwenye jawabu kuu YAHUDI kuna mifumo ya kitechnojia ameshika vizuri ulimwenguni si bure lazima mzungu amlinde hata kama ni wewe ungekuwa tegemezi kwa myahudi ungemlinda tuu no way out usipo mlinda anakumwagia ugali na mboga zako.Wazungu hawawataki wayahudi kwenye nchi zao,ndio maana wakawatafutia eneo huko Middle East baada ya kukataliwa Uganda,
Yahudi haaminiki,wanawalinda coz wanajua watakimbilia Europe na America,wanawalinda ili wakae huko huko tu.
wamesema mataifa magumu kuvamiaNa izrael Kesha vamiwa na Hezbollah na Hamas
Japan unawajua?China itoe mzee.
China hii sio China ile,hata Japan angeendeleza ubabe ila kuikuta China hii sahau.
China ni nightmare.
jambaz atumie ambulance hlf atake asilengwe kisa yupo kweny ambulanceTaifa linalojielewa huwezi shambulia ndege ya kiongozi wa muhimili wa taifa lengine pasipo kujali ni kubwa ama dogo.
Wewe ungekuwa Xi ungetoa order ndege ishambuliwe ?
kuna maswali hupasi kuuliza , waarab wakorofi na sio wastaraabSwali najiuliza kwann wazungu wanailinda ISRAEL? Kwani ISRAEL inawapa nini wazungu?????
Kama JAWABU unalo hata wewe ungekimbia kuilinda ISRAEL kwa kile inachokupatia.
Tatizo waarabu wengine machawa wa USA ukianza na mkubwa wa SAUDIAkuna maswali hupasi kuuliza , waarab wakorofi na sio wastaraab
Nikuelezee vyema.Una badilika badilika kama kinyonga.
Halafu mkuu bana unaleta vichekesho😂😂😂😂😂.Miji ya Japan kwa tech China inajitahidi ku catch up, China kwenye miji mikubwa ana infrastructures nzuri sikatai, Japan hadi vijijini wameendelea hilo halina ubishi.
Japan vyoo tu vyenyewe vya public ukiwa unapita unaona ni transparent,ukiingia ndani kinajibadili na kujiweka rangi mtu nje hakuoni.
Kuna namna flani Japan kwenye tech katika maisha ya kila siku wapo mbali, usiwachukulie poa asee.
Suala la airlines Japan ilitengeneza comercial airline miaka ya 1940's, hata hiko kiwanda cha subaru kilikua ni kiwanda cha kutengeneza ndege cha Japan, kikiitwa Nakajima.
Japan kutotengeneza airline sio ipo nyuma kwenye tech ni vipaumbele nyuma walitengeneza airlines wakaacha.
China kutoa vitisho ni kawaida mkuu.Nikuelezee vyema.
Ndege ya Pelosi ndio iliongoza duniani kwa wakati wote kufuatiliwa na watu ilipokuwa inakwenda Taiwan, watu zaidi ya 2.4 million duniani walikua wakifuatilia kwenye platforms na Apps za ku track ndege kama flightradar n.k
Kutokana na watu kuwa wengi servers za flightradar zili crash na mimi nilikua mmoja wapo nikifuatilia movement za hio ndege ikiingia anga la Taiwan.
Kila mmoja wetu tukijua leo China itafanya kitu. Hakuna walichofanya. Ilikua mikwara.
Ndege ilikuwa tracked na watu wengi zaidi tokana na onyo la China dhidi ya Pelosi kuingia Taiwan. China isingetoa onyo hakuna mtu angehangaika kufuatilia.
Historia ya Japan nimeisoma na nafahamu Japan ni taifa ambalo lilikua na nguvu sana kijeshi.Japan unawajua?