Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

Nikukumbushe tuu viwanda vikubwa china hutumia technology ya mjapan yaan kuufanyia mtambo service hadi mjapan aje. Hapo utamshindana vipi na mjapan.....
Taja hivyo viwanda vikubwa unavyosemea wewe.
Huongei na mtoto hapa ukamlisha kimba kwa kijiko.
Viwanda vya magari?
Viwanda vya simu?
Nuclear plant?
Viwanda vya uundaji reli na engine zake!??
Viwanda vipi!!??
Andika hapo chini WITH VIVID EVIDENCE.
 
Taja hivyo viwanda vikubwa unavyosemea wewe.
Huongei na mtoto hapa ukamlisha kimba kwa kijiko.
Viwanda vya magari?
Viwanda vya simu?
Nuclear plant?
Viwanda vya uundaji reli na engine zake!??
Viwanda vipi!!??
Andika hapo chini WITH VIVID EVIDENCE.
Nimemaanisha mitambo mikubwa viwandani. Kiwanda kinaweza kuwa cha mchina au shirika la china ila mitambo inayofanya operations ndani ya kiwanda namaanisha.
 
Nimetoa mfano wa choo ili ujue wanatumia tech na kunufaika nayo katika maisha ya kila siku, kupika,matibabu , usafiri n.k imekuwa kwao ni maisha ya kila siku ya kawaida, wamehama totally wao ni kutumia tech tu.

Kwa dunia Japan ndio technologically advanced country duniani.

Elewa maana ya technologically advanced, tafuta google mzee uje unipe majibu.

Japan tech ni kama utamaduni kwao, mbali na China bado na wao wana catch up hasa maeneo ya mijini.

Ukienda Japan ukakuta ile migahawa yao unahudumiwa na miroboti ndipo utashangaa, kwao hayo zilipendwa.

Tech imekuwa kwenye maisha yao kila siku, huku China baadhi ya vijiji wakipika kwa kuni.
 
Unahama nje ya mada.
Kwenye matibabu na usafiri Japan kumfikia China bado.
Nadhani hata kuna mada nyingi zililetwa humu ndani za maendeleo ya China katika nyanja ya usafiri na matibabu.
Ukisemea hata masuala ya kupika na mahotelini China kuna maroboti ya kukata hadi karoti na kuhudumia wateja.
Jambo unalolisemea sio geni kwa China.
Na vijijini China kutumia kuni haimaanishi kuwa hawana high tech ila ni utamaduni,kuna hadi mahoteli mjini yanapika vyakula kwa kuni ili kupreserve ile Chinese cuisine katika vyakula vyao vya asili.

Narudi pale pale kwenye Critical infrastructure China yuko mbali.
 
Ukimuona mtu yeyote amesimama sana na China dhidi ya US, ujue ana chuki zake binafsi na US. Ni ukweli usiopingika bila US na Ulaya China isingefika hapo kimaendeleo.

Tukizungumzia watu ambao wapo bright kichwani, Mjapan huwezi kumwondoa. Wewe angalia Japan ana resource ipi ya maana nchini kwake zaidi ya watu? Ila ona maendeleo ya nchi yalivyo makubwa, fikiria sasa angekuwa na resources kama China na Russia angekuwa wapi...
 
Mwambie anuse pale Taiwan kama mwenzie alivyonusa Ukraine. Achana na tawimu za vita pekee pasipo uzoefu wa mapambano, China mweupe tu kama alivyo Russia.
 
Hapana ya kwanza ni Tanzania ya pili israeli ya tatu Usa
 
Ile WW 2 ilibadili upepo wa mataifa makubwa mawili ambayo wangekuwa wamejikita ktk zana za kijeshi mpaka sasa basi ingekuwa ni changamoto.

1. Japan.
2. German.
 
Kwenye teknolojia China na marekani ndio wanao chuana.
Wanachuana? Hivi unaweza thubutu kumringanisha US na China upande wa Tech? Tukisema hapa tuweke Tech ambazo US kaanzisha na China kaanzisha utaona kuna mringano? Hizi Tech ambazo China anaendeleza ndo mnamringanisha na US?
 
Hiyo Iran juzijuzi tu Israel kaitwanga
 
Naomba nikukumbushe kitu mkuu. Miaka ya nyuma US alipambanishwa na Japan kitech kama hivi leo inavyopambanishwa na US na China, Japan ilikuwa hatari ktk Tech mpaka ikahisiwa kuchukua dola endapo US ikianguka.

Japan imewahi kuwa na makampun makubwa sana aseee, ni vile tu vijana wa sasa tunajitoa ufahamu au wengine hawajui kabisa.
 
Unapoteza muda wako kuwajibu hao, China ilikuwa ikifanya mazoezi majini, baadae wakatoa vitisho vizito endapo Peros angekanyaga ardhi ya Taiwan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…