Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani

Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Watafute Yuan au Ruble wakatimilize mahitaji yao.

Hata hapa Tz dollar haipo

Sijaelewa sababu ya dollar kupungua kiasi hiki, je ni Marekani kafanya makusudi?
Sio USA kufanya kusudi bali hizo Nchi zime opt kuongeza currency zingine katika trade,hivyo inawapasa kupunguza kiasi cha USD.

By the way Kamala Hariss hakuja Tanzania,Ghana na Zambia kwa bahati mbaya.Nchi hizo zote alizokuja Kamala zona story zinazofanana za kuacha kutumia USD katika trade zao
 
Hizo ni porojo tu, hapo BRICS mtu mwenye uchumi mkubwa ni China, wateja wa wakubwa wa bidhaa za China ni West na wananunua kwa dollars, South Africa wananua bidhaa kwa dollars China, India na China haziivi, kwa sasa kutumia Yuan ni sawa na ndoto za mchana.
Naona nchi kubwa zenye manunuzi makubwa zimeanza kuisusia dollar badala yake wanasisitiza kutumia pesa zao wenyewe.. BRICS wameanza tayari.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sio USA kufanya kusudi bali hizo Nchi zime opt kuongeza currency zingine katika trade,hivyo inawapasa kupunguza kiasi cha USD.

By the way Kamala Hariss hakuja Tanzania,Ghana na Zambia kwa bahati mbaya.Nchi hizo zote alizokuja Kamala zona story zinazofanana za kuacha kutumia USD katika trade zao
Acha siasa we mkurya na usomi wako wa uchumi bado huelewi kitu.

Sasa kama zimeongeza hifadhi zingine kwanini walilie kupungua kwa USD?
 
Kabla ya kurukia conspiracy theories nyingine eleza kivipi kupandisha interest rate kunavutia wawekezaji.
Sio USA kufanya kusudi bali hizo Nchi zime opt kuongeza currency zingine katika trade,hivyo inawapasa kupunguza kiasi cha USD.

By the way Kamala Hariss hakuja Tanzania,Ghana na Zambia kwa bahati mbaya.Nchi hizo zote alizokuja Kamala zona story zinazofanana za kuacha kutumia USD katika trade zao
 
Fed wamepandisha interest rate kuvutia wawekezaji kwa maana nyingine kuongeza demand ya USD ambayo inashuka kila kukicha.
Wewe unafahamu unachoongea lkn. Angalia exchange rate dollar dhidi ya madafu kisha utupe jibu. Pili, sasa hivi jaribu kuagiza bidhaa yoyote China au India uone Proforma Invoice wataandika sarafu gani.
 
Back
Top Bottom