Wanatafuta $ ili wanunulie US treasury bondInterest rate ikipinda inavutiaje wawekezaji ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta $ ili wanunulie US treasury bondInterest rate ikipinda inavutiaje wawekezaji ?
Na securities kama treasury bonds za Marekani walizonunua pia. Kiranja wao China wanaomtegemea anazo securities za Marekani za USD Trillion 1! Dolla ikianguka na yeye anakwenda na maji, hawezi kuwa mjinga kiasi hicho[emoji1787]Achana na hizo siasa feki, kwa hiyo madeni mtalipaje na mikopo mtapewaje...!!
Ficha ujinga kijana acha kukariri madesa ya darasani China ni swala LA muda tu fedha yao kuanza kuwa popular kwenye manunuzi duniani tatizo hamuamini kuwa dollars inapungua ushawishi wake kwenye manunuzi juzi France kanunua gesi iliyochakatwa kwa yuan ya China usiisi kama ni swala LA bahati mbaya ila ni mipango ya polepole ya China kwenye kuiandaa pesa yake kufanya manunuzi kwenye bidhaa zinazotoka nchini makeHizo ni porojo tu, hapo BRICS mtu mwenye uchumi mkubwa ni China, wateja wa wakubwa wa bidhaa za China ni West na wananunua kwa dollars, South Africa wananua bidhaa kwa dollars China, India na China haziivi, kwa sasa kutumia Yuan ni sawa na ndoto za mchana.
sorry kuna kitu nilichanganya.Interest rate ikipinda inavutiaje wawekezaji ?
Wanatafuta $ ili wanunulie US treasury bond
sorry kuna kitu nilichanganya.
Umejuaje dollar haipo,kabla Magufuri hajaipa majukumu banks kukusanya Forex ndo Forex zilikuwa zinafichwa but the guy was genius now Forex zipo za kutosha na destination ni BOT banks are doing marvelous thingsWatafute Yuan au Ruble wakatimilize mahitaji yao.
Hata hapa Tz dollar haipo
Sijaelewa sababu ya dollar kupungua kiasi hiki, je ni Marekani kafanya makusudi?
Aluyekwambia ivyoo nani ivi darasani mnaenda kusoma nini hasara atakayopata marekani uchumi wake ukianguka ni kubwa kuliko ile ambayo China ataipata kushikilia bond za mwenzako haimaanishi wote mtatetereka pamoja, kile anachokifanya Leo China kuanza kupunguza utegemezi wa dolla ndyo anguko ambalo litaipata marekani wao wenywe China siyo wajinga kama wengi wanavyoisi na ubaya China anacheza karata zake kwa umakini sana toka Yale aliyoyapata Russia kwenye kubanwa kwa pesa zake njee China amejifunza iloo.Na securities kama treasury bonds za Marekani walizonunua pia. Kiranja wao China wanaomtegemea anazo securities za Marekani za USD Trillion 1! Dolla ikianguka na yeye anakwenda na maji, hawezi kuwa mjinga kiasi hicho[emoji1787]
Twende taratibu wewe umeuliza sababu huna jibu,basi kama unabishana na jibu langu nipe la kwako.Acha siasa we mkurya na usomi wako wa uchumi bado huelewi kitu.
Sasa kama zimeongeza hifadhi zingine kwanini walilie kupungua kwa USD?
Ficha ujinga kijana acha kukariri madesa ya darasani China ni swala LA muda tu fedha yao kuanza kuwa popular kwenye manunuzi duniani tatizo hamuamini kuwa dollars inapungua ushawishi wake kwenye manunuzi juzi France kanunua gesi iliyochakatwa kwa yuan ya China usiisi kama ni swala LA bahati mbaya ila ni mipango ya polepole ya China kwenye kuiandaa pesa yake kufanya manunuzi kwenye bidhaa zinazotoka nchini make
Kitendo cha kuzipatanisha nchi maadui kama Irani na Saudia tna kwa kumaliza mgogoro mzito pale Yemen itampa hecko sana China polepole anachukua ushawishi wa bwana mkubwa tena kwenye Yale maeneo nyeti sana.
Tukumbuke China ndyo mnunuzi mkubwa wa nishati duniani pamoja na mali asili nyingine na ndyo muuzaji mkubwa wa bidhaa nyingi duniani kama pesa yake ikianzaa kutumika kwenye manunuzi mbalimbali jua tu kuna balaa linakuja kuipata dola Sikh si nyingi. Yote west ndyo waliyatengeneza waliingia mtegoni kwa Russia kununua gesi na mafuta kwa pesa ya Russia sasa ule mtego umefyetuka kwa wengine, majibu yatapatikana 2025
Unajua takwimu sasa zinaonyesha BRICS imeipita G7 countries kwenye GDP nenda kwenye makala ya biashara ya kimataifa kasome utaelewa hata wao wanamesha liona hilo in ten years from now kama hawato find away wanakwenda kuanguka vibaya hasa.Hizo ni porojo tu, hapo BRICS mtu mwenye uchumi mkubwa ni China, wateja wa wakubwa wa bidhaa za China ni West na wananunua kwa dollars, South Africa wananua bidhaa kwa dollars China, India na China haziivi, kwa sasa kutumia Yuan ni sawa na ndoto za mchana.
Akili chafu za akina Magufuli hizi... ishamba ni laana.Naona nchi kubwa zenye manunuzi makubwa zimeanza kuisusia dollar badala yake wanasisitiza kutumia pesa zao wenyewe.. BRICS wameanza tayari.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imenibidi nisome hiyo article kwa makini sana kwa kile kinachosema kuwa Tanzania ina USD shortage ilihali sector ya utalii inauotuletea USD nyingi inafanya vizuri.
Imenibidi nipitie taarifa za B.O.T kuangalia kulikoni,ukiangalia data za mwezi 3 mwaka 2022, na mwezi 3 mwaka 2023 kuna nakisi kubwa inaongezeka kati ya export na import (B.O.P) katika kipindi cha huu mwaka 1.
Vilevile,madeni yameongezeka kwa kiasi kikubwa,ambapo Katibu kila mwezi kinatengwa 1/2 ya kiasi cha makusanyo kinatengwa katika Ku service mkopo ambayo inalipwa kwa USD.
Hayo yote ndio yamepelekea hizo Nchi kuanza makubaliano na Nchi washirika kulipana na Ku trade kwa currency zao ili kukwepa gharama za kubadilishana kwa USD
Achana na huyo mkurya kihiyoWewe unafahamu unachoongea lkn. Angalia exchange rate dollar dhidi ya madafu kisha utupe jibu. Pili, sasa hivi jaribu kuagiza bidhaa yoyote China au India uone Proforma Invoice wataandika sarafu gani.
Mfano Kenya ana mikopo mingi ambayo imekopeshwa kwa USD.Wao wamesema wanabadili $ kwa yuan na jamaa anawachora tu
Kwa mataifa ya ki Africa bora wangekaa kimya tu waachie kwanza hao mahasimu wapambane
Ukiherehere wa Ruto na kuropoka sasa hata mishahara kashindwa kulipa
Kinachofuata ni hao hao wazungu kupiga kampeni za chini chini ili ajiuzuru na mataifa mengine tutegemee vurugu
Vurugu huwa zinaanzia Tumboni
Ukiacha hilo China ana zaidi ya Nusu ya Dollar zote zilizo katika Mzunguko.Na securities kama treasury bonds za Marekani walizonunua pia. Kiranja wao China wanaomtegemea anazo securities za Marekani za USD Trillion 1! Dolla ikianguka na yeye anakwenda na maji, hawezi kuwa mjinga kiasi hicho[emoji1787]