Unajua takwimu sasa zinaonyesha BRICS imeipita G7 countries kwenye GDP nenda kwenye makala ya biashara ya kimataifa kasome utaelewa hata wao wanamesha liona hilo in ten years from now kama hawato find away wanakwenda kuanguka vibaya hasa.
USA ndio mwenye shida kubwa sababu ana previllage ya USA DOLLAR kama International currency kwahiyo kama Fed wanauwezi wa kuprint US dollar kwa wengi na kuback up matumizi yao na kusiwe na shida yoyote sasa mambo yanavyo kwenda ni tofauti na kwa speed ya 5G kwani kabla ya VITA UKRAINE biashara zote zilikuwa zikifanywa under USA dollar lkn sasa over 20% za biashara za kimataifa zinafanywa under different currency na hazina uhusiano wowote na WORLD BANK or IMF .
MFANO Mdogo tu Tanzania na India wamekubaliana kufanya biashara na malipo yawe kwa RUPUEE ya India kwahiyo uhitaji dollar tena kati ya India na TANZANIA.
Sent from my SM-S901B using
JamiiForums mobile app