Watafute Yuan au Ruble wakatimilize mahitaji yao.
Hata hapa Tz dollar haipo
Sijaelewa sababu ya dollar kupungua kiasi hiki, je ni Marekani kafanya makusudi?
Fed wanapandisha interest rate kwa kasi kupambana na mfumuko wa bei Marekani.Watafute Yuan au Ruble wakatimilize mahitaji yao.
Hata hapa Tz dollar haipo
Sijaelewa sababu ya dollar kupungua kiasi hiki, je ni Marekani kafanya makusudi?
Fed wamepandisha interest rate kuvutia wawekezaji kwa maana nyingine kuongeza demand ya USD ambayo inashuka kila kukicha.
Tatizo umejaa chuki haya Urusi kaachana na Dollar au Dollar imemuacha?Naona nchi kubwa zenye manunuzi makubwa zimeanza kuisusia dollar badala yake wanasisitiza kutumia pesa zao wenyewe.. BRICS wameanza tayari.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na mimi nataka elimu hapoInterest rate ikipinda inavutiaje wawekezaji ?
Huyu mkurya alikariri darasani.Interest rate ikipinda inavutiaje wawekezaji ?
Sio USA kufanya kusudi bali hizo Nchi zime opt kuongeza currency zingine katika trade,hivyo inawapasa kupunguza kiasi cha USD.Watafute Yuan au Ruble wakatimilize mahitaji yao.
Hata hapa Tz dollar haipo
Sijaelewa sababu ya dollar kupungua kiasi hiki, je ni Marekani kafanya makusudi?
Naona nchi kubwa zenye manunuzi makubwa zimeanza kuisusia dollar badala yake wanasisitiza kutumia pesa zao wenyewe.. BRICS wameanza tayari.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha siasa we mkurya na usomi wako wa uchumi bado huelewi kitu.Sio USA kufanya kusudi bali hizo Nchi zime opt kuongeza currency zingine katika trade,hivyo inawapasa kupunguza kiasi cha USD.
By the way Kamala Hariss hakuja Tanzania,Ghana na Zambia kwa bahati mbaya.Nchi hizo zote alizokuja Kamala zona story zinazofanana za kuacha kutumia USD katika trade zao
Si tumekubaliana kuachana na dola au?Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo.
Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia na Zimbabwe ni mifano ya hayo yanayokabiliwa na upungufu huo.
Sio USA kufanya kusudi bali hizo Nchi zime opt kuongeza currency zingine katika trade,hivyo inawapasa kupunguza kiasi cha USD.
By the way Kamala Hariss hakuja Tanzania,Ghana na Zambia kwa bahati mbaya.Nchi hizo zote alizokuja Kamala zona story zinazofanana za kuacha kutumia USD katika trade zao
Unajisumbua na mchumi hewaKabla ya kurukia conspiracy theories nyingine eleza kivipi kupandisha interest rate kunavutia wawekezaji.
Acha siasa we mkurya na usomi wako wa uchumi bado huelewi kitu.
Sasa kama zimeongeza hifadhi zingine kwanini walilie kupungua kwa USD?
Ndo hapo ukitaka kuwaona wabaya nenda kwa mchina nunua kitu useme wamlipa kwa Yuan.Usomi wa uchumi uchwara, kama hawa ndio wasomi wa uchumi katika nchi yetu basi tumekwisha. Anongea nonsense contradictions tupu.
Achana na hizo siasa feki, kwa hiyo madeni mtalipaje na mikopo mtapewaje...!!Si tumekubaliana kuachana na dola au?
Wewe unafahamu unachoongea lkn. Angalia exchange rate dollar dhidi ya madafu kisha utupe jibu. Pili, sasa hivi jaribu kuagiza bidhaa yoyote China au India uone Proforma Invoice wataandika sarafu gani.Fed wamepandisha interest rate kuvutia wawekezaji kwa maana nyingine kuongeza demand ya USD ambayo inashuka kila kukicha.