Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Umesema kweli kabisaaaa
 
Kenya barabara nzuri labda Nairobi tu
Kuna barabara mbaya sana pande zote za boda
 
Asa mbona hapa Tz imesifiwa sana??
Yani jamaa kainanga na kuisema sana kenya.
 
We umelewa chang,aa sio bure.
Barabara bora zinaweza kuwa na potholes km zenu?????
Tutolee pombe hapa.
 
Kenya si LDC,
Tunataka hizi infrastructure zote,
Kila mtu ako na taste yake,,,,either utsafiri na road,air ama rail....ivo ndio countries zilizoendelea ziko.
Africa is rising.
Kwahyo ndio mjenge sehem moja ilhali nyingine haijaendelea????
 
Hiyo ripoti inaionea Tanzania na hata zile Nchi ziko chini yenu kwenye hio orodha ya ubora was barabara??? Mfa maji hawachi kutapatapa. Kati yenu na Malawi Nani Yuko juu pande ya barabara?
Tushawazoea nyie watu wa kushikilia ripoti ambazo haziendani na reality.
Ni sawa na ile ripoti mloleta kuwa Kenya mnazalisha mazao kuliko Tz halafu watu wanakufa njaa mkisingizia eti demand ya maindi kubwa watu wanapenda ugali kuliko ubwabwa ndio maana turkana wafa njaa.
Inafanana na hii wakenya wenzenu wanasifia highway roads za Tz zina ubora mtu ka travel 1500km pasi na kugusa potholes kabbisa na ile anakanyaga road za Kenya mi potholes km yote na ni mkenya mwenzenu ww unakuja na ripoti.
Nan wa kuaminiwa mshuhuda ama ww mtoa ripoti za kuchapishwa tu?????
 
eti Kenya nchi ndogo na Rwanda wasemeje! ?hii mijaluo cjui mikikuyu inapenda sifa kweli!
Halafu bro huyo mbona anaropoka???
Anajua Tz tumejenga kilometers ngapi za roads mpk aseme Rwanda yatuzidi??
 
Probably kwa road network sawa but kwa road quality Tzn iko nyuma inatumia poor standard mode of surfacing ya surface dressing wenzao wanatumia asphalt concrete
Mbona hizo zinazojengwq kwa asphalt concrete mashimo km ya kuchezea bao
 
Hi Hiyo report n biased
Kama hata Misri tu haipo.Na pia Hiyo itakuwa n mawazo ya mtu kwa understanding yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…