babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Umesema kweli kabisaaaa
Si ndio hapo sasa, mimi naona wawadanganye tu hao hao wasiofuatilia kuhusu hayo mambo mimi hata nchi ambazo sijawahi kwenda huwa nina tabia ya kugoogle baadhi ya miji na kuangalia picha ili angalau niwe na clue kuhusu namna hiyo miji ilivyo.
Ila Rwanda kwa kweli ukitoa Kigali sijaona kitu bado hebu waache kufananisha Tanzania na vitu vya ajabu tena kwa zama hizi ambazo dunia yote ipo viganjani mwa watu sidhani kama tunaweza kudanganyana kuhusu swala la miji kwa kweli labda tu kwa watu wasiotaka kujua au wasio na simu janja (smart phones)