Bongo kwa EA tunaweza kuongoza kwa kua na mtandao wa barabara za lami zenye km nyingi kuliko nchi nyingine lkn sio kwny ubora.Duh! Mkuu Tanzania haipo😃😃
Bongo kwa EA tunaweza kuongoza kwa kua na mtandao wa barabara za lami zenye km nyingi kuliko nchi nyingine lkn sio kwny ubora.
Ubora ni mzuri sanaa, sana sana. Basi tu hatutokeagi kwenye hizo list na nobody gives a ***. Which is ok sumtymsBongo kwa EA tunaweza kuongoza kwa kua na mtandao wa barabara za lami zenye km nyingi kuliko nchi nyingine lkn sio kwny ubora.
Hapo mme include na vile vinjia vya kuingia nyumbani kwenu sio?Kufikia Aprili 2020, Tanzania tarmac road network mlikua mumefikisha 9,951km huku Kenya ikiwa na zaidi ya 14,000km
Danganyika ccm vijisababu hadi yesu atakaporudiMagufuli angemaliza mda wake tungekuwa namba moja Africa
Me najua umepost baada ya kuona Tz haipo??[emoji23][emoji23][emoji23]Tutafika tu....
Top 10 African countries with quality roads
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
- Namibia (score 5.2) world ranking 23
- South Africa (score 5.0) world ranking 29
- Rwanda (score 5.0) world ranking 31
- Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
- Mauritius (score 4.7) world ranking 44
- Morocco (score 4.4) world ranking 55
- Kenya (score 4.2) world ranking 61
- Botswana (score 4.1) world ranking 6
- Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
- Senegal (score 4.0) world ranking 71
Takwimu 👇🏿Kufikia Aprili 2020, Tanzania tarmac road network mlikua mumefikisha 9,951km huku Kenya ikiwa na zaidi ya 14,000km
Huyo ni Mkenya au ni Muhindi?Just see for yourself...ona Mkenya mwenzako ambaye ni vblogger venye anasifia barabara za TZ during her Kenya<>SA road trip
Huyo ni Mkenya au ni Muhindi?
Kenya vibarabara vyao vyembamba ina ubara gan wa barabara, kunya buanaTutafika tu....
Top 10 African countries with quality roads
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
- Namibia (score 5.2) world ranking 23
- South Africa (score 5.0) world ranking 29
- Rwanda (score 5.0) world ranking 31
- Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
- Mauritius (score 4.7) world ranking 44
- Morocco (score 4.4) world ranking 55
- Kenya (score 4.2) world ranking 61
- Botswana (score 4.1) world ranking 6
- Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
- Senegal (score 4.0) world ranking 71
Magufuli angemaliza mda wake tungekuwa namba moja Africa