Na wewe unaanzisha ubishi wenye majibuUnaelewa Kingereza? Unajua nini maana ya "since 2013".... Nikuondole uvivu, hapo ina maana tangu 2013, Kenya imefaulu kuongeza kilomita 10,500 za lami.
Halafu naona unamaliza simu chaji kwa haya mapicha, hapo kwenye picha yako inaonyesha mtandao wote wa barabara za Tanzania, paved and unpaved ni 86,472km, sasa hii picha itakusaidia kwenye ufahamu, au kama vipi fuata huu uzi wa Watanzania wenzako Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?
![]()
Unajua tarmac road,? Maanake ni barabara za lami.
Swali limeuliza “how many km tarmac road to Tanzania “
Majibu
trunk road 12786 kms
Regional road 21105 kms
Jumla 33891
Kenya ni 16,902 kms
Tanzania ni linchi likubwa lazima Mtandao uwe mkubwa kenya inaingia mara 2! na Tanzania ni big brother wa EAC
Makao Makuu ya EAC ni Arusha kwa wasiojua