Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora

Na wewe unaanzisha ubishi wenye majibu

Unajua tarmac road,? Maanake ni barabara za lami.
Swali limeuliza “how many km tarmac road to Tanzania “

Majibu
trunk road 12786 kms
Regional road 21105 kms
Jumla 33891

Kenya ni 16,902 kms


Tanzania ni linchi likubwa lazima Mtandao uwe mkubwa kenya inaingia mara 2! na Tanzania ni big brother wa EAC
Makao Makuu ya EAC ni Arusha kwa wasiojua
 
Trunk roads + regional roads = total of tamarack roads. 😂😂😂😂😂 wewe rudi shule ufunzwe kua logical kidogo.
 
Trunk roads + regional roads = total of tamarack roads. 😂😂😂😂😂 wewe rudi shule ufunzwe kua logical kidogo.
😂😂😂 why did you even bother reply to that idiot?
 

Wewe unabwabwaja na kutia aibu, ni wazi haujui nini maana ya tarmac road, kasome na kutafiti vizuri kabla kuja kuendelea kujiaibisha humu.....
Na kwa taarifa yako, mtandao wote wa barabara Kenya ni 160,876km ilhali Tanzania ni 86,472km, hapo nimejumuisha paved and unpaved.

Kukuondolea uvivu upate wapi pakuanzia, mna unpaved trunk and regional kibao
 
Kufikia Aprili 2020, Tanzania tarmac road network mlikua mumefikisha 9,951km huku Kenya ikiwa na zaidi ya 14,000km
Mkuu mngeziweka kwenye ubora na barabara kama hizi ambazo zipo ndani ya nbo si mngefikisha 14,300km,wakunya hivi uwa mnakwama wapi sijui!

 
Unaleta takwimu zimepitwa na wakati unafikiri watu wamelala , kazi inapigwa kimya kimya na matokeo yanaonekana

Barabara nyingi zinazoonekana hazijapigwa lami sasahivi zimepigwa lami ya kiwango bora nyinyi endeleeni kulala usingizini na kujidanganya .

Mfano mpanda - tabora imepigwa lami
babati - kondoa - dodoma imepigwa lami
Nk.

Babati - kondoa - Dodoma 👇🏿



Mpanda - Tabora👇🏿



Masasa - Tunduru - Songea👇🏿



Sumbawanga- kanazi - Mpanda👇🏿



Manyovu - kasulu- - kibondo- Nyakanazi ujenzi unaendelea 👇🏿

 
Are you alright upstairs?

 
Bongo kwa EA tunaweza kuongoza kwa kua na mtandao wa barabara za lami zenye km nyingi kuliko nchi nyingine lkn sio kwny ubora.
Hata zile kelele za malori juzidisha mizigo zilizimwa na hoja kua tatizo sio uzito ni ubovu wa barabara.....gari inatoka Namibia ikifika bongo unaambiwa mzigo mzito mkubwa unaharibu barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…