Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana.
Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika uchaguzi
Katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi nchini Marekani kila mgombea anajaribu kumpaka matope mwenzake kwamba yeye haipendi Israel ndio maana kafanya kadha wa kadha. Kila mgombea kabla ya uchaguzi mara nyingi anakwenda Israel kwenda kulia kwenye ukuta pale Jerusalem pamoja na kutoa kauli za kujidhalilisha au kuisifia Israel.
Kuhofia kitisho cha mashambulizi ya Iran kwa Israel wakuu wa Marekani na vitengo vya ulinzi vimetoa kauli za wazi wazi kuwa ni lazima wailinde Israel dhidi ya mashambulizi hayo. Meli za kivita zimepelekwa mashariki ya kati kwa kazi hiyo.
Matendo hayo yanayofanywa na mataifa makubwa tunayoyaona yanaongozwa na watu wenye akili ni aibu kiubinadamu kwani taifa hilo wameliunda kwa mikono yao.
Jee kwa kufanya hivyo mataifa hayo yatafanikiwa kuilinda Israel na jee na wenyewe wataendelea kubaki kuwa mataifa makubwa yanayoaminika katika dunia?