Mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani yanaisujudia Israel waliyoiunda wenyewe

Mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani yanaisujudia Israel waliyoiunda wenyewe

Waliopita bahari nyekundu sio hawa bali walikuwa ni kizazi cha Israel ambaye alikuwa ni muislamu.
Kwa hiyo huyo Ismael alikuwa ni mtoto wa ngapi wa Jakobo..,!!🤣🤣
 
Kwani hukusoma habari za Musa kuona Cushite woman kutoka Midiani? Hukupata kujua kama Midiani ipo Saudi Arabia ya Leo??

Sisemi Ibrahimu au Waisrael walikuwa weusi au weupe maana Biblia inasema they are the people of Colour (bila shaka like Ethiopians or like Cushites) na Sulemani anasema ngozi yake ni nyeusi.

Lakini ninachotaka kukujukisha tu ni kwamba zama hizi hadi Middle East kulikuwa na watu weusi na Cushites maana hata mwanzishi ya BABELI(Iraq ya Leo) alikitoka Ibrahimu ni NIMROA ambaye ametoka na Hamu anayeaminika kuwa baba wa weusi
Je Ismael naye alikuwa mweusi.?
 
Wayahudi kila Mwaka wanashinda Tuzo za Nobel Hadi sasa Tuzo za 2024 Washindi niliwasikia 2 ni wayahudi.

Sasa nenda kwa Wavaa Kobazi Yemen wanakula mirungi, Wapalestina wanachimba mahandaki, unadhani nani ni binadamu wa Faida
 
Je Ismael naye alikuwa mweusi.?
Ismael mama ndo mweusi lakini baba yake (Ibrahimu) ni Mkurdi kutoka Iraq ya leo (Ur wa Ukaldayo). Hivyo atakuwa chotara ya Mkurdi na Mwafrika mweusi.
 
Cushites ndio walikua weusi lakini waisraeli walikuwa ni Semites ambao hawakuwahi kuwa watu weusi na laiti kama waisraeli walikuwa ni weusi basi sisi ndio tungekuwa jamii ya watu wenye akili mno duniani lakini ona tu tulivyo yaani hadi tunatia aibu.
Rudia kusoma tena. Sikusema Waisrael walikuwa weusi maana hata Biblia inasema they are the pepole of Colour. Ndo nikasema bila shata walikuwa na rangi inayoelekeana na Cushites. Cushites siyo weusi tii kama Wabantu. Cushite kama unashindwa kuwajua ndo raia wa Eritrea, Jibuti, Ethiopia (siyo waethiopia maana Ethiopia pia kuna Hemites hasa kusini na magharibi mwa Ethiopia).

Waisrael kuwa watu wa rangi pia inaweza kuwa imesababishwa na Intemarriage na Wamisri ya kale ambao walikuwa Weusi maana kumbuka ziliingia nafsi 70 tu kutoka kanaani lakini wakatoka maelfu na maelfu ya waisrael kurudi kanaani baada ya kukaa Misri kwa miaka 400.

Kwenye historia pia eneo la Mashariki ya kati ilikuwa ya watu weusi (Hamu) maana Canaani ni uzao wa hamu
 
Nchi yenye maziwa na asali ndiyo Ile au Tanzania?
Kwa harahaka haraka Tanzania ndo nchi ya maziwa na asali ndo maana hata binadamu wa kwanza aliishi Tanzania (Ngorongoro). Hivyo, bila shaka Tanzania ndo edeni ya zamani. Sema wakubwa walishasema Canaani ndo nchi ya maziwa na asali mimi ni nani nibishe???
 
waislamu ni WAJINGA SANA kwamba waIsraeli walikua waislamu wakati huo huo uislamu umeletwa na Mohamed juzi juzi tu hapa.
Wanakwambia muislam wa kwanza ni Adam.... by the way wamechukua neno la kiarab Islam literary na kulifanya ideology .. Islam it is an arabic word which literally means submitting.. so kwa mujibu wa Mtume Mohamed. Its a submission to the will of God"..

Yaan kwa mfano rahis atokee mtu aanzidhe Dini aiite "Waabudu" then aseme watu wote dunian kiasili ni "Waabudu" si unaona Adam alimuabudu Mungu ni "Muabudu" yule.. .. yaan ww hata ujiite mkristo au sijui nani as long as una muabudu Mungu basi wewe ni "Muabudu" 😂😂 Na aseme
Kuwa ndio dini ya kwanza dunia. Hiz zingine mmekengeuka tu

So basicaly changing the meaning of a word to promote an ideology or belief
If you think about it, it's a very smart way of getting people to rally behind you."
 
D
Uislamu ndio dini kabla ya hata kuumbwa binadamu.Adamu ambaye ndiye baba yetu ndiye mtu wa mwanzo na Mtume wa mwanzo alikuwa muislamu.Mayahudi waliukuta uislamu au tuseme walikufuru ndio wakawa mayahudi.
Duh. Kweli Muddy aliwapotosha aisee
 
Back
Top Bottom