Mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani yanaisujudia Israel waliyoiunda wenyewe

Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana.

Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika uchaguzi

Katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi nchini Marekani kila mgombea anajaribu kumpaka matope mwenzake kwamba yeye haipendi Israel ndio maana kafanya kadha wa kadha. Kila mgombea kabla ya uchaguzi mara nyingi anakwenda Israel kwenda kulia kwenye ukuta pale Jerusalem pamoja na kutoa kauli za kujidhalilisha au kuisifia Israel.

Kuhofia kitisho cha mashambulizi ya Iran kwa Israel wakuu wa Marekani na vitengo vya ulinzi vimetoa kauli za wazi wazi kuwa ni lazima wailinde Israel dhidi ya mashambulizi hayo. Meli za kivita zimepelekwa mashariki ya kati kwa kazi hiyo.

Matendo hayo yanayofanywa na mataifa makubwa tunayoyaona yanaongozwa na watu wenye akili ni aibu kiubinadamu kwani taifa hilo wameliunda kwa mikono yao.

Jee kwa kufanya hivyo mataifa hayo yatafanikiwa kuilinda Israel na jee na wenyewe wataendelea kubaki kuwa mataifa makubwa yanayoaminika katika dunia?
Kama waliweza kumuuwa mwa wa mungu, nafikiri wanapaswa kuogopwa sana🤣🤣🤣
 
Mbona ujasema uzao wa Jacob ni blacks? Wakush? Ili watu waelewe hao kina netanyau ni wa mchongo?
Sema wewe kwa uelewa wako, mimi nasema ninachokijua.

Tusishauriane kusaidiana kusema tunachojua, kila mtu aseme ajuacho.

Sasa kama Ibrahim na Sara hawakuwa black sijui Isaka alizaliwaje black.

Na Ibrahim alimwagiza mtumishi wake na kumwapisha akamletee Isaka mke toka kwa ndugu zake. Akaletewa Rebeka toka kwa ndugu za Ibrahim. Sasa sijui hapa black anatokea wapi.

Labda ungeniambia Ishmael ni mweusi kidogo ningekubali maana mjakazi ambaye ni mama wa Ishmael alitoka Afrika pale Misri.

Mkifundishwa, ongezeni na za kwenu
 
Uzao wa Rebeka wametaja kabisa mapacha waliozaliwa mmoja ni Esau amabae ni mwekundu anavinyweleo vingi hapo moja kwa moja bila kupepesa huyo mwarabu, aliyemfuata amabae ni Jacob alikua mweusi na biblia zingine hazitaji kabisa Jacob ni wa rangi gani? Najua muisraeli hawezi kuacha hili kijulikane kirahisi toka zamani mtu wa figisu alimfitini kaka yake ili tu apate baraka za mwenzake mweusi kama roho yake
 
Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana.

Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika uchaguzi

Katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi nchini Marekani kila mgombea anajaribu kumpaka matope mwenzake kwamba yeye haipendi Israel ndio maana kafanya kadha wa kadha. Kila mgombea kabla ya uchaguzi mara nyingi anakwenda Israel kwenda kulia kwenye ukuta pale Jerusalem pamoja na kutoa kauli za kujidhalilisha au kuisifia Israel.

Kuhofia kitisho cha mashambulizi ya Iran kwa Israel wakuu wa Marekani na vitengo vya ulinzi vimetoa kauli za wazi wazi kuwa ni lazima wailinde Israel dhidi ya mashambulizi hayo. Meli za kivita zimepelekwa mashariki ya kati kwa kazi hiyo.

Matendo hayo yanayofanywa na mataifa makubwa tunayoyaona yanaongozwa na watu wenye akili ni aibu kiubinadamu kwani taifa hilo wameliunda kwa mikono yao.

Jee kwa kufanya hivyo mataifa hayo yatafanikiwa kuilinda Israel na jee na wenyewe wataendelea kubaki kuwa mataifa makubwa yanayoaminika katika duni

Wanailinda hawaisujudii hawa akina Netanyau sio waisrael ila wale ni wamarekani na waingereza wameanzisha Taifa lao pale Kwa maslahi wanayoyajua wao

Waisrael original Kwa Sasa ni waparestina hata vipimo vya DNA vinakubali hilo
 
Halaf sijui hizo chuki na wayahudi wamezitoa wapi, kama ni chuki basi angekuwa nazo wajukuu wa Esau pacha wa Israel aliyeibiwa uzaliwa wa kwanza lakini sio wajukuu wa Ismael.
Mtume wao aliuliwa kwa kula msosi wenye sumu uliopikwa na Binti wa kiyahudi, kwahiyo tangu hapo wanawachukia wayahudi kinoma
 
Israel ni habali nyingine, ifikie hatua mkubali kuwa Israel ina mkono wa Mungu vinginevyo ingekuwa imeshifutwa na maadui.
Na wala sio muisraeli ni mmarekani ndio mwenye bases dunia nzima anampa shoga yake
 
Tatizo unaiona Israel kwa mtizamo wa macho ya nyama wenzio wanaiona kwa macho ya kiroho. Yanayofanyika yamepigiwa mahesabi kwa umakini. Na hauwezi kupita urais Marekan bila kuunga mkono Isarel.

Pia kumbuka Marekani na Uingereza hawakuunda Taifa la Israel isipokuwa walilirudisha pale lilipokuwa na mbaya zaidi mpaka sasa halijafanikiwa kuwa katika mipaka yake ya awali.

Unakumbuka bahari ya Sham ilipofunguliwa wakitoka Misri? Kipindi hicho Uingereza na Marekani hawakuwepo ila Israel na Misri vilikuwepo. Hata Palestina haikuwepo ujue.
Wewe ndio una hadithi za binuasi kabisa,una uhakika waisrael waliotajwa hiyo ndio ilikuwa sehemu yao.
 
Hawaisujudii Israel bali masilahi ya kiuchumi,na kwa Dunia ya sasa uchumi ni mafuta na gas.
Kwa takwimu zilizopo ukanda huo ambao nchi za kiarabu zilipo na eneo la urusi ndio kuna deposit kubwa ya mafuta na gas,kuanzia Iran,Iraq,Qatar,Saudia na n.k
So, njia pekee rahisi ya kuwa control walitumia njia hiyo ya kutengeneza Taifa fake la Israel ili kuwavuruga waaraba.Hivyo,ukiona hao wanasiasa wanapigana vikumbo katika issue hizo ni kuwa wanapigania masilahi ya USA na sio vinginevyo.
 
waislamu ni WAJINGA SANA kwamba waIsraeli walikua waislamu wakati huo huo uislamu umeletwa na Mohamed juzi juzi tu hapa.
Hapana hata huyo Mohammed mwenyewe amekufa haijui kabisa uislamu. Uislam wameianzisha karne kadhaa baada ya Mohammed kufa. Mohammed mwenyewe hakuwahi kuwa muislam.
 
Genesis 25,26 (KJV) Jacob anazaliwa mweusi kama mkaa tena inasema kama wazazi wake, Esau ndio alikua mwekundu maana walikua mapacha uzao wa Rebeca na Isaack ambapo kupitia wao limetoka bani Israel makabila 12
Tuonyeshe ni wapi imesemwa kwamba Jacob alikua ni mweusi tii.! Hiyo ni biblia ya wapi labda kama hiyo imo kwenye kurani.

Waisraeli hawakuwa weusi na mashariki ya kati hakukuwa na watu weusi. Watu weusi ulikuwa unawakuta kuanzia Misri na mwisho mtasema hata Mohammed naye alikuwa ni mweusi tii. Bure kabisa.
*********************************************
24 When the time came for her to give birth, there were twin boys in her womb. 25 The first to come out was red, and his whole body was like a hairy garment; so they named him Esau.[a] 26 After this, his brother came out, with his hand grasping Esau’s heel; so he was named Jacob. Isaac was sixty years old when Rebekah gave birth to them.

27 The boys grew up, and Esau became a skillful hunter, a man of the open country, while Jacob was content to stay at home among the tents. 28 Isaac, who had a taste for wild game, loved Esau, but Rebekah loved Jacob.
*********************************************
 
Uzao wa Rebeka wametaja kabisa mapacha waliozaliwa mmoja ni Esau amabae ni mwekundu anavinyweleo vingi hapo moja kwa moja bila kupepesa huyo mwarabu, aliyemfuata amabae ni Jacob alikua mweusi na biblia zingine hazitaji kabisa Jacob ni wa rangi gani? Najua muisraeli hawezi kuacha hili kijulikane kirahisi toka zamani mtu wa figisu alimfitini kaka yake ili tu apate baraka za mwenzake mweusi kama roho yake
Tupe mstari katika biblia unaosema Jacob alikua ni mweusi tii. Hakukuwa na watu weusi mashariki ya kati acheni uongo wa masjid ubwabwa. Mwisho mtasema hata Mohammed naye alikuwa ni mweusi tii. Bure kabisa.
 
Hao si waisraeli asili yao sio weupe hata biblia imekataa ni weusi kama waethiopia ndio wayahudi halis
Tupe ushahidi wa hilo vinginevyo ni stori za masjid ubwabwa.
 
Soma kuanzia Genesis 25;21-27
21 Isaac prayed to the Lord on behalf of his wife, because she was childless. The Lord answered his prayer, and his wife Rebekah became pregnant. 22 The babies jostled each other within her, and she said, “Why is this happening to me?” So she went to inquire of the Lord.

23 The Lord said to her,

“Two nations are in your womb,
and two peoples from within you will be separated;
one people will be stronger than the other,
and the older will serve the younger.”

24 When the time came for her to give birth, there were twin boys in her womb. 25 The first to come out was red, and his whole body was like a hairy garment; so they named him Esau.[a] 26 After this, his brother came out, with his hand grasping Esau’s heel; so he was named Jacob. Isaac was sixty years old when Rebekah gave birth to them.

27 The boys grew up, and Esau became a skillful hunter, a man of the open country, while Jacob was content to stay at home among the tents.
 
Na hii ndo Point yenu kuu mnashida Sana nyie wavaa kobaz
Ni kwamba unashangaa tu baada ya kudanganyika kwa miaka yote hiyo.
Shida iko wapi kwamba Uislamu ndio dini ya ulimwengu mzimu na kwamba ilikuwepo kabla hata binadaamu hawajaanza kuishi duniani.
Soma Qur'an surat Fussilat aya ya 11
 
Back
Top Bottom