Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mkuu hamna mtu yoyote aliekewa batola kichwani kulazimishwa kuchoma chanjo.Ngoja wataalamu wa chanjo mpya waje kwanza.
Cc: Mahondaz
Watu kelele nyingi tu, chanjo ni chaguo binafsi kama utapata bahati ikufikie.
Jamaa wako busy kuchanja raia wao na wako nyuma sana, sisi tupo hapa tunapiga kelele.
Africa tuna mchango gani kwenye chanjo? Zaidi ya kelele tu ?