Mataifa masikini kuanza kupelekewa chanjo dhidi ya COVID-19 kabla ya mataifa tajiri

Hamna mtu anaye songa ugali alafu akampa jirani kwanza ale.

Wananchi wao wametaabika sana na corona; wacha wawape raia wao chanjo kwanza alafu ndio tupewe sisi ambao corona hamna.
Huo utakuwa ni upendo ambao hujawahi kutokea duniani, labda tutakuwa tumehamia sayari nyingine bila kujua kama hili litafanyika kwa roho safi.
 
Hamna mtu anaye songa ugali alafu akampa jirani kwanza ale.

Wananchi wao wametaabika sana na corona; wacha wawape raia wao chanjo kwanza alafu ndio tupewe sisi ambao corona hamna.
Huo utakuwa ni upendo ambao hujawahi kutokea duniani, labda tutakuwa tumehamia sayari nyingine bila kujua kama hili litafanyika kwa roho safi
 
Back
Top Bottom