Mataifa masikini kuanza kupelekewa chanjo dhidi ya COVID-19 kabla ya mataifa tajiri

Ngoja wataalamu wa chanjo mpya waje kwanza.

Cc: Mahondaz
Mkuu hamna mtu yoyote aliekewa batola kichwani kulazimishwa kuchoma chanjo.

Watu kelele nyingi tu, chanjo ni chaguo binafsi kama utapata bahati ikufikie.

Jamaa wako busy kuchanja raia wao na wako nyuma sana, sisi tupo hapa tunapiga kelele.

Africa tuna mchango gani kwenye chanjo? Zaidi ya kelele tu ?
 
Wana test mitambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Tukikubali Huo ndo uzwazwa. Wao ndo wamepigika zaidi na hili janga (au tumepigika kiwango sawa) halafu eti sisi ndo wa muhimu zaidi kuanza kutumia chanjo waliyotengeneza wao
 
Hivi kwa nini inatumika chanjo aina ya Astrazeneka badala ya kutumika ile ya Russia ambayo ilionyesha mafanikio zaidi ya chanjo zote?
huu wa leo sio msimamo wa ufipa, huu ni wa kwako binafsi.
 
Kuna siku itafika hapa hapa Tz itakua ni lazima kila raia apewe chanjo na ikikataa unawekwa ndani.

Hata mimi sipendi lakini hili ni swala la muda tu.
Nadhani kwa nchi yetu haitokuwa lazima.
 
Tukikubali Huo ndo uzwazwa. Wao ndo wamepigika zaidi na hili janga (au tumepigika kiwango sawa) halafu eti sisi ndo wa muhimu zaidi kuanza kutumia chanjo waliyotengeneza wao
Nani kakwambia sisi ndio wa kwanza?

Tunajipendekeza tu, wao wako busy kuchanja raia wao sie tusubiri misaada.
 
Mkuu umeua pale uliposema Wasayansi tunao lakini wanaamini uchawi kuliko sayansi, je ulikuwa unamlenga Jiwe nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wanaanzia kwa mataifa masikini, sisi ni matajiri, ndio maana itachelewa kufika !
 
Hiyo sio chanjo bali iko kwenye majaribio ili iwe chanjo kamili

Maskini ndio majaribio maana ukiambiwa majaribio lazzima wakatae. Njia pee tayari wamebuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…